1:Try Again
"Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika"
Hii ilikuwa ni baada ya Young Africans Sports Club kufika fainali ya kombe la...
Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU.
Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa.
BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambae alikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibu akawa...
Hadi kufikia juma la kwanza la mwezi wa Desemba, mikoa mitatu kati ya kumi na saba ilikuwa tayari imeshajitenga kutoka EAMWS.
Kile kikundi cha Adam Nasibu kikaunda kamati kwa ushirikiano na Kamati ya Maulidi ya Dar es Salaam, Adam Nasib akiwa Katibu.
Kamati hii ikaitisha mkutano Ukumbi wa...
Hata hivyo, tarehe 14 Novemba, 1968, Baraza la EAMWS la Tanzania liliitisha mkutano wajumbe kutoa mikoa yote ya Tanzania kujadili ‘’mgogoro.’’
Pamoja na waliohudhuria ni wajumbe kutoka mikoa ambayo tayari ilikuwa imekwishajitenga na EAMWS.
Mkutano huu ulifanyika katika shule ya Kiislam ya...
TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA
"... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo.
Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru.
Ieleweke hapa kuwa...
VITA VYA PILI VYA DUNIA.
Wakati Ujerumani iliposhambulia Poland, nchi hiyo ilikuwa na mikataba ya kulindana na Uingereza na Ufaransa. Hivyo ilibidi Uingereza na Ufaransa zitangaze hali ya vita dhidi ya Ujerumani. Serikali za Australia, New Zealand, Nepal, Afrika Kusini na Kanada zilishikamana...
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...
Wakuu nimeona leo tukumbushane mambo hatari ya kukwepa hasa unapokuwa ndani ya nchi tukufu Tanzania.
1. Kujihusisha kimapenzi na mke/mume wa mtu.
2. Kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari).
3. Kumpa mimba mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari)
4. Kujihusisha na...
Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013
............................
WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea
kifo, Utafikiri hawafahamu fika
kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye
maisha yangu nimepitia mambo...
Mwaka 2018 Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lilitoa waraka wa Pasaka ambao ulikua unakosoa, kuonya na kushauri mambo mbalimbali yaliyokua yakiliathiri taifa kwa wakati huo. Waraka huo ulikua moto kwa serikali ya Magufuli kwa sababu ulikosoa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi ya...
Wakuu leo nikiwa natafakari mambo mbalimbali ya maisha nikakumbuka maisha ya shule y msingi. Zilikuwa nyakati za furaha ila pia nikahuzunika nilipowakumbuka classmates waliokuwa vizuri sana kitaaluma ila hawakubahatika kusonga mbele na kidato cha kwanza. Zilikuwa nyakati mbaya sana kwa uhaba wa...
Dj Mars
Dj Venture
Dj Skills
Dj D White
Dj Juice
Dj Nelly
Dj Kessy
Dj Muli Bring Bring
Dj Majizo
Di Sam
Dj Cutter
Dj Jongo
Dj D7
Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Simba tumekosea sana kumuachia kiungo mkata umeme hata akiwa benchi,
Nimeumia sana maana hata bin kazumari alisemaga kuwa mnyama hapa hajapigwa kwa sawadogo why aachwe?
Sawa sawa na tumemuacha maestro Andrea piro .
Nimeumia sanaa natamani ninywe sumu
Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuuza Bandari zetu Kwa waarabu wa Dubai..
Mtindo na ushawishi uliotumika kuaminisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.