makarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?

    Good Afternoon jamiiforums. Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa? Jumla ya pesa walizolipwa makarani wa sensa ni takribani 1,200,00/= ambayo 15% yake ni 180,000/= Sio kila karani wa sensa ni graduate na mnufaika wa bodi ya mikopo, lakini...
  2. C

    Swali gani lilikukera ulipoulizwa na makarani wa Sensa?

    Wakati wa Sensa kuna maswali mengi sana yaliyoulizwa na Makarani wa Sensa, mengine yalifurahisha, mengine yalikasirisha, ilimradi waweze kutumiza malengo na kazi iliyowapeleka. Mfano, unatumia jiko la aina gani? Umeshawahi kutumia smartphone? Unamiliki guta...
  3. Suzy Elias

    Uchawi: Makarani wa sensa wakiwa mbali nyumba wanaziona wakizisogelea zinanapotea

    Ni huko Wilaya ya Igunga,Tabora. Unaambiwa makarani wa sensa huko Igunga mkoa wa Tabora wamekumbwa na sintofahamu ya aina yake na kubaki wasijue la kufanya baada ya zoezi lao kukumbwa na mambo ya kishirikina hali iliyowafanya kutokuziona nyumba/makazi ya wananchi wa wilaya hiyo. Unaambiwa kila...
  4. amadala

    Uchawi sensa; Makarani wakosa nyumba na kukuta miti na vichaka

    Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Igunga, Ally Hemed amesema moja kati ya changamoto kubwa iliyojitokeza Wilayani humo kwa baadhi ya maeneo ni Makarani wa Sensa kukutana na vitendo vya kishirikina ambapo walipokuwa wakienda kwenye makazi au nyumba wanakutana na miti au vichaka badala...
  5. mirindimo

    Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

    Makarani wagoma kupokea 300,000 badala ya 340,000 walizotakiwa kulipwa, inasemekana kuna makato yamekatwa ya 40,000.
  6. R

    Makarani wa sensa ni akina nani?

    Zoezi la sensa kufikia tamati leo wakikusanya taarifa mbalimbali zinazotuhusu. Je, tunajua makarani wa sensa ni akina nani? Kama taarifa zako zikitumiwa vibaya na kuuzwa kwa watu huna pa kumshtaki zaidi ya kulalamika kwasababu mpaka sasa hivi bado hatuna sheria ya ulizi wa data. Lakini siyo tu...
  7. M

    Mdude Nyagali: Bil 600 zimekwapuliwa huku makarani wakinyimwa posho na bado zoezi halijakamilika kwa wakati

    Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie. Wameshatafuna...
  8. JanguKamaJangu

    Dodoma: Makarani wasusia sensa wakidai kutolipwa fedha zao

    Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Waongozaji hao wa Makarani wamedai kuwa waliahidiwa kulipwa laki moja kwa awamu mbili lakini hadi...
  9. Kingsmann

    Makarani wa sensa hawatalipwa malipo yaliyobaki kama hawatafikisha kaya 100 kila mmoja

    Mtakwimu mkuu wa serikali NBS, Dr. Albina Chuwa amewatahadharisha makarani kuwa hawatalipwa kiasi cha malipo kilichobaki endapo hawatafikisha kaya 100 kila mmoja, wakati akieleza mwenendo wa zoezi hilo tangu kuanza kwake mpaka hivi sasa. Amesema lengo ni kuhakikisha watu wote wanahesabiwa. Dr...
  10. polokwane

    SERIKALI : pesa za malipo ya makarani mngelipa direct kutoka hazina , hizi mlizo peleka halmashauri kuna halimashauri hazijawalipa makarani hadi sasa.

    Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko. Mnahabari Hadi sasa kuna halmashauri hazijawalipa makarani wao zaidi ya kulipwa pesa ya awali ya siku 5 tu za semina na bado...
  11. Dr Akili

    Je, watendaji wa mitaa/ vijiji au mabalozi wa nyumba 10 wangalitumika kama makarani wa sensa, zoezi la sensa lingalikamilika ndani ya siku moja tu?

    Nilikuwa nawaza tu kwa sauti (just thinking aloud): "Kuna kama kusua sua kwa zoezi hili la sensa ya watu na makazi kwenye baadhi ya maeneo. Kuna uwezekano baadhi ya kaya zisiweze kufikiwa ndani ya muda uliopangwa wa siku saba. Kuna kaya ambazo makarani wa sensa watazikuta zimefungwa kwani...
  12. M

    Makarani wa Sensa si mmepewa hela ya kula? Kwanini mida ya saa 7 hadi Saa 9 mnapenda kung'ang'ania katika nyumba moja tu?

    Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu. Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini...
  13. J

    Makinda: Wenzetu walioendelea kila mtu anajisensa mwenyewe kwa simu yake, ila SISI bado hivyo tuwasubiri makarani

    Kamisaa wa sensa mama Makinda amesema Kaya zote zitapitiwa na makarani wa sensa cha muhimu ni uvumilivu tu Makinda amewasihi sana wananchi kuacha taarifa nyumbani kama watakuwa hawapo Chanzo: Millard Ayo
  14. M

    Makarani wa Sensa, mbona hili Swali limekaa Kibinafsi na Kiuchokozi zaidi?

    Je, unatumia Choo cha Shimo au cha Kuflashi? Hili linahusikaje na idadi ya Watu tunaohesabiwa? Tunakoelekea mtakuja Kutuuliza huwa tunaenda haja kubwa mara ngapi kwa Siku na ya aina gani pia.
  15. Sildenafil Citrate

    Makarani wa sensa tuwaamini bila uwepo wa sheria yoyote nchini inayolinda taarifa binafsi na faragha zetu?

    Wakuu. Awali ya yote nitoe pongezi kwa kila Raia wa nchi hii aliye bahatika kuhesabiwa. Wengine hatukupata bahati ya kufikiwa siku ya jana, natumani kwa muda muafaka, tutapata pia fursa hii ya kuingia kwenye rekodi ya takwimu muhimu za wakazi wa nchi hii. Baada ya kutoa pongezi hili naomba...
  16. Numero Uno

    Makarani wa sensa kuigiza ni sahihi?

    Wakuu imekaaje hii ya makarani wa sensa kuchukuliwa clip ya maigizo wakati wa kuhesabu. Yaani karani anaenda kwa mtu maarufu then akimaliza kazi yake wanaanza kuchukua video ya kuchekesha, huo sio upotevu wa muda kweli?
  17. M

    Manispaa ya Mwanza kuna watu hawajui Kiswahili washindwa kuelewana na makarani wa sensa

    Nimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui Kiswahili. Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi. Kila akiulizwa anajibu nahene jawiza mayo. Hapo ni Kisesa, ndani ya manispaa kabisa; nauli 600 kwenda mjini, sio kijijini.
  18. JanguKamaJangu

    Makarani wa Sensa Arusha, Katavi waporwa vishikwambi

    Makarani wawili wamejikuta katika wakati mgumu baada kuporwa vifaa vyao vya kukusanyia taarifa maarufu kama vishikwambi na vibaka. Tukio la kwanza limetokea jijini Arusha ambapo karani aliyetambuliwa kwa jina la Saraphia Kiwango ameporwa kishikwambi chake alipokuwa akielekea kuanza kuhesabu...
  19. L

    Tuendelee kusubili kuhesabiwa na tutoe ushirikiano kwa makarani wa sensa watakapotufikia

    Ndugu zangu watanzania zoezi la Sensa limeanza Leo na litaendelea katika wiki yote hii, Najuwa Kuna ambao hatujabahatika kufikiwa na makarani wa Sensa katika siku ya leo, ndugu zangu naomba tutambue kuwa sote tutafikiwa na kuhesabiwa bila kuachwa Wala kurukwa kaya yoyote Ile Ndugu zangu pamoja...
  20. Lanlady

    Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
Back
Top Bottom