Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Good Afternoon jamiiforums.

Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?

Jumla ya pesa walizolipwa makarani wa sensa ni takribani 1,200,00/= ambayo 15% yake ni 180,000/=

Sio kila karani wa sensa ni graduate na mnufaika wa bodi ya mikopo, lakini kutokana na changamoto ya ajira kwa vijana nina uhakika wadaiwa wa HESLB walikuwamo tena wengi tu miongoni mwa makari wa sensa.

SWALI: Kwanini HESLB walishindwa kushirikiana na ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) kuweza kukusanya hizo 180,000/= kutoka kwa makari wa sensa?
 
Wakuu, Nilijaribu bahati yangu katika shindano la stories of change lakini sikufanikiwa. Ngoja sasa nikatazame fursa zingine za pesa. Leo ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp

E-MAIL: infantrysoldier2012@gmail.com
===

I wish you all the best.
 
Ndugu zangu, kesho ufunguzi wa World Cup ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===

I wish you all the best.
Kenda usirudi
 
Good Afternoon jamiiforums.

Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?

Jumla ya pesa walizolipwa makarani wa sensa ni takribani 1,200,00/= ambayo 15% yake ni 180,000/=

Sio kila karani wa sensa ni graduate na mnufaika wa bodi ya mikopo, lakini kutokana na changamoto ya ajira kwa vijana nina uhakika wadaiwa wa HESLB walikuwamo tena wengi tu miongoni mwa makari wa sensa.

SWALI: Kwanini HESLB walishindwa kushirikiana na ofisi ya taifa ya takwimu kuweza kukusanya hizo 180,000/= kutoka kwa makari wa sensa?
Wewe ni mgonjwa nini?
Hivi unajua sensa na mafunzo yake ilivyokua ngumu?Yaani vijana wamejipatia mitaji ya kufanya biashara na hiko kidogo but unawaza wanyonywe tu

Of course sikatai kuwa dawa ya deni ni kulipa lakini hana ajira ya kudumu hicho kidogo unawaza kumkamua tu

Una akili za kimasikini tu
 
Hahahaaaaa mkuu mbona ume-panic sana?
 
Ingewezekana kwa wakati ule kwa maana HESLB wanayo list nzima ya wadaiwa.
Dogo, HESLB hawana list nzima ya wadaiwa. Waliyonayo ni kuanzia 2006 nayo haijakamilika. Kuna madudu ya kutisha heslb hata wao hawako tayari kutoa orodha yote maana walipiga hela balaa za waliokuwa wanalipiwa na miradi, waliodisco, waliopata udahili zaidi ya chuo kimoja nk. Madudu ya kutisha na akija tokea Magufuli mwingine akataka kufukua madudu ya heslb kila mtu ataduwaa.
 
Daaah
 
Back
Top Bottom