Swali gani lilikukera ulipoulizwa na makarani wa Sensa?

Chulumeshy

Member
Jul 27, 2022
17
11
Wakati wa Sensa kuna maswali mengi sana yaliyoulizwa na Makarani wa Sensa, mengine yalifurahisha, mengine yalikasirisha, ilimradi waweze kutumiza malengo na kazi iliyowapeleka.

Mfano, unatumia jiko la aina gani?
Umeshawahi kutumia smartphone?
Unamiliki guta, baiskeli na maswali mengine ambayo kwa namna moja walihitaji majibu kutoka kwa wananchi kwa ajili ya kukamisha taarifa za mtu husika.

Je, kipindi wanachukua taarifa zako ni swali gani lilikukera?
 
Back
Top Bottom