kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bams

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha Kamati Kuu, kwenye Habari ya Maridhiano, Mbowe akiri alifanya kosa kubwa

    Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema. Leo kila mmoja ana uhakika...
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kuniachisha pombe nilivyokimaliza kibabe!

    Ilikuwa mida fulani hivi ya saa mbili usiku ile naingia nyumbani kabla sijafika sebuleni nikasikia ndugu zangu wanajadili "Tumemletea tiba leoleo lazima aache hizo pombe zake!" hapo walikuwa hawajashitukia kama nimeingia na siku hiyo mpk narudi sikua nimeweka vyombo!, wakati nimeendelea...
  3. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna kikao cha Wanaume kilifanyika ila nimesoma sehemu Maazimio kadhaa

    Kuanzia sasa hakuna tena hela ya kutolea unapo mtumia mwanamke hela,akitaka hela kamili afuate geto Kuna vifungu viwili vya uhaini vimeongezwa,ila nakumbuka kimoja tu,mwanao akitaka kuazima geto lako awe na demu wake,ukimnyima huo ni uhaini Demu akiwa anasema anakuja geto,halafu wewe ukaoga...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

    Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katikati ya kikao Arusha, Makonda atamba kumnunulia Mercedes Benz mtangazaji Cza wa Clouds, alimpigia simu akamchagua aje amuulize maswali

    Nilisikiliza interview ya Makonda huko Arusha, na moja ya jambo alilojitapa ni kumpatia gari mtangazaji wa Clouds aitwaye Cza. Na Cza anakiri kwamba alienda Arusha kwa kuitwa na Makonda, na si kwa kupangiwa kazi na ofisi. Naona kuna mradi wa kumtakatisha mtu.
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

    Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao? Hii tasnia haina seniority? Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kikao cha Balaza la mawaziri kikiisha lazima taarifa itolewe ya walicho azimia, Tanzania ni kimya

    Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa. Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha Wanaume: Mwanamke wako alifanya nini ukaanza kumchukulia poa?

    Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha Tisa, Novemba 8, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=52E6JA0VI7c
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi. Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

    Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi. Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12, Kikao cha 8 Novemba 7, 2024 Asubuhi

    Bunge linaendelea hivi sasa kwa kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanapata fursa ya kuuliza maswali kwa mawaziri, huku mawaziri wakitoa ufafanuzi na majibu kwa maswali hayo. Endelea kuwa nasi kufuatilia yanayoendelea kutoka Dodoma, kwenye kikao ambacho kinahusu pia Kamati ya Mipango...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mageni: Watu wengi wanaamini hakuna ajira Serikalini bila kuwa na ‘connection'

    https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60 Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha 2022/23, leo Oktoba 31, 2024, Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amesema imekuwa kawaida kuona Ripoti hiyo...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi na Mbili Mkutano wa 17 Kikao cha Tatu, Oktoba 31, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wanatoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/live/ECVGyl8jL60
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha pili, Oktoba 30, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanatoa majibu kwa hoja zinazotolewa. Endelea kuwa nasi tukifuatilia yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=I0lXFZKm-sE
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha kwanza, Oktoba 29, 2024

    Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=i2OqSWWMSO0
  17. U

    JamiiForums Tanzania News alert kikao cha baraza la mawaziri Israel hakitafanyika kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wala makao makuu ya IDF kwa hofu ya Usalama.

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama Hawaruhusiwa kuja na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kikao hiki ajenda ilikuwa ni nini? Moja ya picha halisi za mkakati

    Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa? Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio? Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
  19. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri usiku huu kwenye makao makuu ya jeshi Kirya, maandalizi ya kuishambulia Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imeamua na haipoi Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Wajumbe: Mkuu wa shin bet Ronan Bar Mkuu wa Mossad David Barnea, Waziri wa ulinzi Yoav Galant Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Back
Top Bottom