Kassim Majaliwa: Hadi kufikia kipindi cha Ramadhan sukari itakuwepo nchini

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jitihada kubwa zinafanyika ili kumaliza tatizo la uhaba wa sukari lililopo nchini.

"Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua nyingi ambazo maeneo yetu ya mashamba ya miwa inayozalisha sukari maji yamejaa kiasi cha kwamba wale wamiliki wa mashamba hayo hawawezi kutoa miwa shambani kupeleka viwandani, na upungufu huu umeshafanyiwa kazi na Wizara ya Kilimo na imetoa vibali kwa wafanyabiashara na wazalishaji wa sukari wenyewe kuingiza sukari nchini zaidi ya tani laki moja, na taarifa nilizonazo tayari tumeanza kupata sukari kutoka nje hii itaendelea kupunguza makali ya kukosekana kwa sukari nchini,"- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

"Lakini pia tumeendelea kukaa na viwanda kuona namna bora ya kupata bidhaa hii pale ambako mvua zinapungua ili waendelee kuzalisha, upungufu huu sio wa muda mrefu tunaamini tutafika hadi kipindi cha Ramadhan, kwahiyo ndugu zetu Waislamu watafunga na serikali tunawahakikishia kwamba sukari itakuwepo nchini," - Waziri Mkuu
=====================================================================
Prime Minister Kassim Majaliwa has reassured the public that efforts are underway to address the sugar shortage in the country, attributing it to excessive rainfall affecting sugarcane farms. He mentioned that the Ministry of Agriculture has granted permits for the importation of over a hundred thousand tons of sugar to alleviate the shortage, and discussions with local producers are ongoing to enhance domestic production. Prime Minister Majaliwa expressed confidence that the sugar supply will be sufficient by the time of Ramadan, providing assurance to the Muslim community that sugar will be available during the fasting period.

The sugar shortage saga in the country has evolved through multiple episodes, each presenting a new twist to the narrative. In Episode 1, the government attributed the scarcity to flooded sugarcane farms, making it impossible to harvest the essential crop. This explanation left the public skeptical, questioning the authenticity of the challenges presented by authorities. Episode 2 further deepened the crisis as unharvested sugarcane rotted in the fields, intensifying the shortage. Public sentiment reflects a growing dissatisfaction with the explanations provided, with many viewing them as convenient excuses rather than genuine obstacles.

As citizens grapple with the daily necessity of sugar, exacerbated by the upcoming Ramadan, skepticism and frustration linger. The call for transparency and effective solutions becomes more pronounced, as the public eagerly awaits the next episode in the unfolding sugar shortage saga, hoping for a resolution to the challenges affecting their daily lives and festive preparations.
 
Magufuli yuko ofisini anapa kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......Mwongoooooooooooooooooooooooooo
 
Nchi ilishawashinda siku nyingi vimebakia visingizio tu...

Episode 1: Mashamba yamejaa maji hivyo miwa haiwezi kuvunwa...hivyo tuna upungufu wa sukari kwa sasa

Episode 2: Miwa iliyoshindikana kuvunwa imeozea na kukaukia shambani...hivyo upungufu wa sukari unaendelea

Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua nyingi ambazo maeneo yetu ya mashamba ya miwa inayozalisha sukari maji yamejaa kiasi cha kwamba wale wamiliki wa mashamba hayo hawawezi kutoa miwa shambani kupeleka viwandani
 
Nchi ilishawashinda siku nyingi vimebakia visingizio tu...

Episode 1: Mashamba yamejaa maji hivyo miwa haiwezi kuvunwa...hivyo tuna upungufu wa sukari kwa sasa

Episode 2: Miwa iliyoshindikana kuvunwa imeozea na kukaukia shambani...hivyo upungufu wa sukari unaendelea
Aids, Grant and loan : njia moja wapo ya kufanya nji kuwa maskini tumeshindwa kuzalisha sukari kutokana na mvua kwanini tusingewez kufanya miundo mbinu Mashamba, gharama za ku export sukari kutoka nje ni kubwa people are starving cost if living is to high.. Shauri yake, kiburi sugu
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jitihada kubwa zinafanyika ili kumaliza tatizo la uhaba wa sukari lililopo nchini.

"Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua nyingi ambazo maeneo yetu ya mashamba ya miwa inayozalisha sukari maji yamejaa kiasi cha kwamba wale wamiliki wa mashamba hayo hawawezi kutoa miwa shambani kupeleka viwandani, na upungufu huu umeshafanyiwa kazi na Wizara ya Kilimo na imetoa vibali kwa wafanyabiashara na wazalishaji wa sukari wenyewe kuingiza sukari nchini zaidi ya tani laki moja, na taarifa nilizonazo tayari tumeanza kupata sukari kutoka nje hii itaendelea kupunguza makali ya kukosekana kwa sukari nchini,"- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

"Lakini pia tumeendelea kukaa na viwanda kuona namna bora ya kupata bidhaa hii pale ambako mvua zinapungua ili waendelee kuzalisha, upungufu huu sio wa muda mrefu tunaamini tutafika hadi kipindi cha Ramadhan, kwahiyo ndugu zetu Waislamu watafunga na serikali tunawahakikishia kwamba sukari itakuwepo nchini," - Waziri Mkuu
=====================================================================
Prime Minister Kassim Majaliwa has reassured the public that efforts are underway to address the sugar shortage in the country, attributing it to excessive rainfall affecting sugarcane farms. He mentioned that the Ministry of Agriculture has granted permits for the importation of over a hundred thousand tons of sugar to alleviate the shortage, and discussions with local producers are ongoing to enhance domestic production. Prime Minister Majaliwa expressed confidence that the sugar supply will be sufficient by the time of Ramadan, providing assurance to the Muslim community that sugar will be available during the fasting period.

The sugar shortage saga in the country has evolved through multiple episodes, each presenting a new twist to the narrative. In Episode 1, the government attributed the scarcity to flooded sugarcane farms, making it impossible to harvest the essential crop. This explanation left the public skeptical, questioning the authenticity of the challenges presented by authorities. Episode 2 further deepened the crisis as unharvested sugarcane rotted in the fields, intensifying the shortage. Public sentiment reflects a growing dissatisfaction with the explanations provided, with many viewing them as convenient excuses rather than genuine obstacles.

As citizens grapple with the daily necessity of sugar, exacerbated by the upcoming Ramadan, skepticism and frustration linger. The call for transparency and effective solutions becomes more pronounced, as the public eagerly awaits the next episode in the unfolding sugar shortage saga, hoping for a resolution to the challenges affecting their daily lives and festive preparations.
Huu ni uzembe ambao wajinga tuu wanafurahia kauli kama hizi. Yaani waziri mkuu anatoa tangazo Kama hili. Eti hadi Ramadan, nchi inaangalia dini kufanya wajibu wake? Wameshindwa kuwajibika wasijitetee kwa kutaja ramadhan.
 
Back
Top Bottom