Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari kwa mustakbali wa soka nchini.
Ukiangalia mambo 2 makubwa la kwanza hakuna tv inayoingia mkataba na chama cha soka cha nchi husika kwa miaka 10 eti kwa bilioni 250 yaani kila mwaka bilioni 25. Mechi 4 tu za yanga na simba zinawarudishia gharama zote. La pili TFF na Karia hawaangalii maslahi kwani hii tenda waliyoipata azam ilikuwa inatakiwa iwe ya miaka 3 mitatu tu.
Kuipa miaka10 bila tenda ni ukiukwaji mkubwa. Tuna dstv, star times na nyinginezo zingeshindanishwa na kupewa asilimia kila tv. TFF ingeingiza matrillioni. Kwa kuwa upo simba anzisha decorder yako na wafunze hawa TFF international broadcasting kama England.
Usikubali kuiingiza simba katika mtego huu. Simba ni timu kubwa wakitaka azam kuonyesha mechi zenu igeni real madrid au barcelona. Kila game wawalipe kiasi fulani kikubwa na kama derby isiwe chini ya 1 billion shs. Najua watakataa, lakini njia bora ni wewe kama bilionea kuziokoa timu kama coastal union, Namungo na nyinginezo. Karia kauza. Anzisha decorder yako. Watu ndio wataujua ukweli wa azam tv na TFF. Wewe ndio mwokozi wa timu ambazo hazina uwezo.