kupangisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MrsPablo1

    House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    Tuna furaha kutangaza uuzaji wa nyumba ya kupangisha ambayo bado haijakamilika. Nyumba hii ipo katika eneo la mbezi mwisho msakuzi. Nyumba ni mjumuisho wa apartment mbili ambazo kila moja ina sebule,vyumba viwili vya kulala,jiko na choo. inauzwa milioni 60 za kitanzania. Kwa maelezo zaidi na...
  2. Grahams

    Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni. Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja...
  3. Aliko Musa

    Changamoto Kuu 2 za Majengo ya Kupangisha hapa Tanzania

    Falsafa ya kujenga utajiri kupitia kipato endelevu ndiyo imeonekana kuwa ni falsafa ya kweli kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita. Falsafa hii inafaa zaidi kuitumia kujenga utajiri ukilinganisha na ile falsafa ya kutengeneza faida. Zipo njia nyingi za kutengeneza kipato endelevu kwenye uwekezaji wa...
  4. kamandawasua

    Natafuta Chumba master (100k) Mbezi Beach au Goba

    Habari JF, Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba Chumba kiwe ni kikubwa na Master. Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja. Wapangaji wasiwe wengi (8+). Kuwe na uzio/fensi...
  5. Mamujay

    Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  6. Mamujay

    Raman ya ghorofa ya kisasa ya kupangisha

    Kama unaitaji nichek 0743257669
  7. mtwa mkulu

    Kwanini NMB wanapenda kupangisha foleni

    Ndugu zangu mtakuwa mashahidi nchi nzima hii benk imekithiri kwa kupangisha watu foleni. Si mimi tuu hata msanii wa miondoko ya kufoka foka hapa nchini aliwahi kusema. Tarehe 30/06 Tawi la kyela nilitumia masaa matatu mpaka kufika dirishani. Kuna muda nahesabu watu wapo kama 130 katika foleni...
  8. superkumonga

    Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo. Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani. Maji yapo karibu. Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
  9. Mamujay

    Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  10. Aliko Musa

    Wawekezaji wenye mafanikio makubwa kwenye majengo ya kupangisha wanakuwa hivi

    Mafanikio yanaanzia kwenye akili yako. Leo ninakushirikisha mambo mawili ambayo yanaweza kukuumiza. Endapo yatakuumiza pole na utanisamehe kwa hilo. Kusudi kuu la makala hii ni kuonyesha njia ya kweli ya kujenga utajiri kupitia ardhi na majengo. Tofauti 2 Za Wawekezaji Wenye Mafanikio Makubwa...
  11. Aliko Musa

    Jinsi ya kustaafu na majengo ya kupangisha ukiwa kwenye Ajira/Biashara

    Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya kutumia nyumba za kupangisha. Maana yangu ya kustaafu na majengo ya kupangisha. Ni kufikia hali ya...
  12. Aliko Musa

    Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  13. Aliko Musa

    Nitaanzia hapa endapo nitakosa fedha za kununulia nyumba ya kupangisha mwaka 2023

    Ili niweze kujenga utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo ninatakiwa kujihusisha na;- ✓ Umiliki wa ardhi na majengo. ✓ Au Utoaji wa huduma za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Njia ya kutengeneza kipato cha haraka na kipato endelevu nikiwa umelala ni kumiliki ardhi za kukodisha au...
  14. Baba Ndubwi

    Nahitaji godauni (Godown)la kupangisha Zanzibar

    Wakuu kherii. Ninahitaji godauni la kupangisha hapa Zanzibar. Liwe la mita 100-120 bila kujali upana ni ngapi mita. Lisiwe mbali saana na mjini kati. Mwenye kufahamu mahali laweza patikana au kama unalo tuwasiliane kwa PM. Karibuni.
  15. M

    Mo anunua nyumba kuukuu Kariakoo kwa bilioni 20, aikarabati na kupangisha kwa mabilioni hii ndio biashara

    Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari. Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
  16. hp4510

    Msaada kupangisha nyumba za Magomeni Kota

    Wakuu igweeee Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale Na mambo ya rent yako vipi? Nawasilisha
  17. Mtumishitu

    Nyumba ya kupanga/ kupangisha MWANZA

    JE UNAHITAJI NYUMBA AU UNAPANGISHA NYUMBA JIJINI MWANZA(ROCK CITY). USIPATE SHIDA. WASILIANA NASI:0755213580.
  18. Aliko Musa

    Ushauri; Uwiano Wa 30:10:3:1 Ni Kanuni Inayotumika Kununua Nyumba Za Kupangisha Zenye Faida Mikoani

    Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka kadhaa. Kwa kutumia kanuni hii ya uwiano ninakuonyesha jinsi unavyoweza kununua nyumba ya uwekezaji...
  19. Aliko Musa

    Hatua 5 za kuanzisha biashara ya mikopo ya ukarabati wa majengo ya kupangisha mwaka 2022

    Mikopo ya ukarabati wa nyumba ni moja ya njia za kutengeneza fedha kupitia uwekezaji wa nyumba za kupangisha unaoweza kujenga utajiri mkubwa. Katika kila halmashauri kuna nyumba za kupangisha. Nyumba zinaweza kuwa ni nyumba za makazi, nyumba za matumizi mseto (mixed-use properties) na nyumba za...
  20. Aliko Musa

    Mambo 8 ya kuzingatia kwenye biashara ya utoaji wa mikopo kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za kupangisha

    Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
Back
Top Bottom