Shakira akubali kulipa Faini ya Tsh. Bilioni 20 ili kukwepa kifungo cha Miaka 8 Jela

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi kabla ya kesi yake ilipokaribia kuanza.

Awali Shakira alikataa kulipa Faini hiyo alipoambiwa achague kulipa kiwango hicho kisha mambo yaishe au shauri liende Mahakamani na akishindwa basi ajie kuna kifungo cha Miaka 8 na Faini ya Euro 23.8m (Tsh. Bilioni 65), akachagua Mahakamani kabla ya kuamua kubadili mawazo.

Shahuri la msingi lilikuwa ni kukwepa Kodi ya Euro Milioni 14.5 (Tsh. Bilioni 39.4) katika mahakama ya Barcelona, Shakira amesema ameamua kulipa kwa maslahi ya Watoto wake wawili aliodai hawapendi kuona mama yao akiingia matatizoni.

#######

Shakira: Singer settles Spanish tax fraud case with €7.5m fine

Colombian pop star Shakira has reached a deal with Spanish prosecutors to settle a tax fraud case, just as her trial was about to begin.

The singer has paid a €7.5m (£6.5m) fine - prosecutors had wanted to jail her for eight years and fine her €23.8m (£20.8m) if found guilty.

She had faced tax fraud allegations for €14.5m (£12.7m) in a Barcelona court.

Shakira, who has repeatedly denied any wrongdoing, said she settled "with the best interest of my kids at heart".

In a lengthy statement, she said her children "do not want to see their mom sacrifice her personal well-being in this fight".

The performer had previously rejected a deal offered by prosecutors, instead opting to go to trial.

"Throughout my career, I have always strived to do what's right and set a positive example for others," she said.

"Unfortunately, and despite these efforts, tax authorities in Spain pursued a case against me as they have against many professional athletes and other high-profile individuals, draining those people's energy, time, and tranquillity for years at a time.

"While I was determined to defend my innocence in a trial that my lawyers were confident would have ruled in my favour, I have made the decision to finally resolve this matter with the best interest of my kids at heart who do not want to see their mom sacrifice her personal well-being in this fight."

She added she needed to "move past the stress and emotional toll of the last several years and focus on the things I love - my kids and all the opportunities to come in my career".

Source: BBC
 
Bilioni zaidi ya 20 analipa...Hivi kuwekwa kwenye orodha ya Bilionea ni hadi uwe unamiliki Bilioni ngapi jamani? Maana huyu mwanadada naona naye ni Bilionea.😁
 
Pesa ndefundefu hizi muda mwengine humohumo ndio huwa wanafanyaga na utakatishaji fedha!,unaweza ukaona bonge la kesi kumbe mtu ndo analeta zile fedha haramu kwenye mzunguko!.. watu Wana mbwinu na mbinu na mbunu bhana!..
But anyway alipe Kodi ya watu..😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom