shakira

Shakira Isabel Mebarak Ripoll ( shə-KEER-ə, Spanish: [(t)ʃaˈkiɾa]; born 2 February 1977) is a Colombian singer and songwriter. Born and raised in Barranquilla, Shakira has been referred to as the Queen of Latin Music and is noted for her versatility in music. She made her recording debut under Sony Music Colombia at the age of 13. Following the commercial failure of her first two albums, Magia (1991) and Peligro (1993), she rose to prominence in Hispanic countries with her next albums, Pies Descalzos (1995) and Dónde Están los Ladrones? (1998). Shakira entered the English-language market with her fifth album, Laundry Service (2001), which sold over 13 million copies worldwide. Buoyed by the international number-one singles "Whenever, Wherever" and "Underneath Your Clothes", the album propelled her reputation as a leading crossover artist.
Her success was further solidified with the Spanish albums Fijación Oral, Vol. 1 (2005), Sale el Sol (2010), and El Dorado (2017), all of which topped the Billboard Top Latin Albums chart and were certified diamante by the Recording Industry Association of America. Meanwhile, her English albums Oral Fixation, Vol. 2 (2005), She Wolf (2009) and Shakira (2014) were all certified gold, platinum, or multi-platinum in various countries worldwide. Some of her songs have charted at number one in multiple countries, including "La Tortura", "Hips Don't Lie", "Beautiful Liar", "Waka Waka (This Time for Africa)", "Loca", and "Chantaje". Shakira served as a coach on two seasons of the American singing competition television series The Voice (2013–2014).
With a catalog of 145 songs, Shakira has sold over 75 million records which have made her one of the world's best-selling music artists. Forbes reported that as of 2018, Shakira has become the female Latin artist who has sold the most albums in history. Shakira has received numerous awards, including three Grammy Awards, twelve Latin Grammy Awards, four MTV Video Music Awards, seven Billboard Music Awards, thirty-nine Billboard Latin Music Awards, six Guinness World Records and a star on the Hollywood Walk of Fame. She was named the Top Female Latin Artist of the Decade by Billboard twice (2000s and 2010s). For her philanthropic work with her Barefoot Foundation and her contributions to music she received the Latin Recording Academy Person of the Year and Harvard Foundation Artist of the Year awards in 2011. She was appointed to the President's Advisory Commission on Educational Excellence for Hispanics in the US in 2011, and Chevalier of the Order of Arts and Letters by the French government in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania The collaborational songs between Shakira, Mariah Carey, Charlie Puth and Civilian-Coin.

    Civilian-Coin has officially released three major collaboration remixes: "Touch My Body" featuring Mariah Carey, "See You Again" featuring Charlie Puth, and "Whenever, Wherever" featuring Shakira. Audio and video versions of these exclusive remixes are circulating on various music platforms like...
  2. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Shakira atoa remix ya Whenever wherever akimshirikisha Civilian-Coin.

    ]https://youtu.be/2RwbfaJVfTk?si=BITVvSXrnCXZF6hN
  3. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Ghetto kids Join Shakira at 2026 World Cup Performance

    Last week, the Columbian star announced via her instagram that the Ugandan Kids were her first selection selection to join her for the half time show of the 2026 World Cup final in the United States. This has triggered massive excitement at Ghetto kids an NGO that started in the Ugandan...
  4. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Hii ndio kalenda ya Shakira 2026

  5. Da Dona

    JamiiForums Tanzania Shakira Unveils Official 2026 World Cup Song Featuring Burna Boy

    Colombian pop star Shakira has unveiled the official song for the 2026 FIFA World Cup titled Dai Dai, ahead of the tournament set to take place in the United States, Mexico and Canada. 📸: Shakira, Image Courtesy of BBC The 49-year-old singer teased the song through a one-minute video shared on...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni lini wanamuziki wetu watafikia kiwango hiki cha Shakira?

    Akihojiwa kwenye kipindi cha Fallon tonight, mwanamuziki Shakira amesema huwa anasafiri na vifaa vya kuwezesha matamasha yake vyenye uzito wa tani 90 na idadi ya watu wasiopungua 145 kufanikisha matamasha hayo! Nimewaza ni lini na sisi tutapata mwanamuziki mwenye uwezo wa kuhimili matamasha...
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tumjibu mshairi Bi Shakira anauliza: Mkuna na mkunwaji, muona raha ni nani?

    Wajuvi wa kupambanua njooni mtoe majibu kwa kutumia lugha za staha. Anayepata raha zaidi ni yule anayekunwa au yule anayekuna. Nyimbo zilipendwa ya Bi Shakira kutoka Tanga Nina jambo nataraji, nami nipate baini Nina jambo nataraji nami nipate fahamu Mkuna na mkunwaji, muona raha ni nani...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania KWELI Shakira aliiga ala ya muziki katika wimbo wake wa Waka Waka?

    Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba Shakira Isabel Mebarak alitupiga na kitu kizito kwani alifanya sampling na kuiba melody ya wimbo wa...
  9. Half american

    JamiiForums Tanzania Shakira bado hajasema, na atasema, yaani mpaka aseme

    Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani. Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi kumuongelea mara kwa mara kwenye interviews inadhihirisha bado anamuelewa sana mwamba, sijui...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shakira akubali kulipa Faini ya Tsh. Bilioni 20 ili kukwepa kifungo cha Miaka 8 Jela

    Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi kabla ya kesi yake ilipokaribia kuanza. Awali Shakira alikataa kulipa Faini hiyo alipoambiwa achague...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shakira avunja rekodi Youtube kwa wimbo aliomchana Ex wake (Gerard Pique)

    Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube. Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63 ndani ya saa 24, na kuifanya kuwa wimbo wa Kilatini uliotazamwa zaidi katika kipindi hicho. Shakira...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Shakira kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukwepa kodi

    Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000) Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu mashtaka 6 ya uhalifu wa kodi, ila tarehe ya kesi bado haijapangwa Shakira amekuwa akikana tuhumu...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania HISPANIA: Shakira ashtakiwa kwa kukwepa kodi, wataka afungwe jela miaka 8

    Mwanamuziki Shakira anaweza kukutana na kifungo cha miaka nane na miezi miwili jela pamoja na faini ya Dola Milioni 24 (Tsh. Bilioni 55.7) kama atakutwa na hatia katika mashitaka ya kukwepa kulipa kodi. Shakira alipewa ofa na watoza kodi kuwa wayamalize kwa kutakiwa kulipa kiasi cha fedha kati...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shakira atangaza kutengana na Gerard Pique

    Nyota wa muziki Shakira ametangaza kutengana na Gerard Pique ikiwa ni miaka 11 baada ya wawili hao kuwa pamoja na kufanikiwa kupata watoto wawili. Taarifa hizo zilianza kama tetesi ikidaiwa Pirque alifanya usaliti. Shakira, 45, ametoa tamko rasmi la kutengana kwao lakini Pique, 35, hajasema...
  15. Area 56

    JamiiForums Tanzania Picha: Shamila (Shamy_BK) ndio mrembo mwenye shepu kwasasa bongo

    Huyu mrembo ana trend sana huko IG naona ameanza kumpiku yule Poshy Queen. Hivi hawa wanakula nini jamani maana sio kwa shepu hizi? Kwasasa sidhani kama kuna mrembo anamzidi huyu bibie.
Back
Top Bottom