Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,178
Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani.

Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na Simba SC ili aratibu vizuri Upigaji na Wamefanikiwa kwa 75% kwani hivi sasa Klabu ya Simba inamfaidisha zaidi Kibiashara Mo Dewji kuliko yenyewe inavyofaidika na Mo Dewji.

Watendaji wa FCC, Baraza la Michezo ( BMT ) na Mamlaka ya Kodi 'walihongwa' ili Kukamilisha ule Usanii wa ile 'Dummy Cheque' ya Tsh Bilioni 20 Ili tu Mashabiki wa Simba SC ( Mambumbumbu FC Original ) tuaminishwe, tutulie na Samjo Samjo ( Mo Dewji ) aendelee 'Kutupiga' na 'Anatupiga' kweli kweli Mhindi huyu.

Si mmejifanya Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kunifanya Nikeshe leo kama Popo? Mtanitambua naendelea tu 'Kuwaanikeni' Alfajiri hii.
 
Kwenye Uzi wa mwanzo unamwambia kocha humtaki na mchezaji wake humtaki. Uzi watatu unalalamikia uongozi kuhusiana na kutomtangaza mchezaji unaempenda ambae Kwenye Uzi wa kwanza ulimkana.

Wanabodi wakusaidie unatatizo kubwa tu Kwenye kichwa. Mpaka jioni Kuna nuzi 20+ maana Kwa dk 20 nyuzi 4 mpaka sasa
 
Taarifa ikufikie tu kuwa kama utakuwa Unajiuliza ni kwanini unaona Mambo hayaendi vyema Simba SC basi jibu ni kwamba Wasababishi Wakuu ni Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez.

Kwanza hawaaminiani tena baada ya Wote Wawili Kushutumiana kuwa Wameisaliti Timu Msimu uliopita kwa Watu wa Yanga SC ndiyo maana Timu ikafanya vibaya na Kutia Aibu ya kutopata hata Kikombe Kimoja tu cha Mashindano ya Kueleweka na siyo ya Bonanza na Ujirani Mwema ya Mapinduzi Cup.

Murtaza Mangungu alishauri Simba SC isiachane na Sport Pesa baada ya kugundua kuwa Mbet hawana Financial Muscles za Kuidhamini Simba SC, ila CEO Barbara Gonzalez akamjibu kuwa hana exposure ya Marketing and Business hivyo atulie after all hata Mikutano ya Bodi Yeye ( Murtaza Mangungu ) huwa ni Mjumbe tu kama Wajumbe wengine.

Ugomvi wao mwingine ni Kuchukia kwa CEO Barbara Gonzalez kuwacheleweshea Wachezaji Mishahara yao na kupunguza Posho zao hali ambayo ilisababisha Wachezaji wa Simba SC kujisikia vibaya na kucheza chini ya Kiwango na Kutukosesha Raha wana Simba SC wote.

Hivi sasa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ni kama kaamua 'Kususa' fulani hivi na kumuachia kila Kitu CEO Barbara Gonzalez ila akiwa mbele ya Camera ( Mwenyekiti Mangungu ) hulazimika kutoa Tabasamu la Kinafiki lililojaa Usununu ( Hasira ) Kali Moyoni Ili tu Kutuzuga akina GENTAMYCINE tujue Mambo ni Shwari katika Management wakati siyo Kweli.

Mmenikera sana leo kwa Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kutufanya ( kunifanya ) Nikeshe kama Popo hivyo nami nimeamua sasa Kukisanua ili mnyooke na bahati nzuri nayajua almost 85% ya yanayoendelea ndani ya Simba SC.
 
Vita vya mapopoma ......

Acha popoma (kolo) ziuane zenyewe
 
Taarifa ikufikie tu kuwa kama utakuwa Unajiuliza ni kwanini unaona Mambo hayaendi vyema Simba SC basi jibu ni kwamba Wasababishi Wakuu ni Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez..
Vita vya panziiii ni furaha kwa kunguru, wacha waendelee kuminyana wakija kuamka watakuta gape la point 10🤣🤣
 
Mkuu mengine potezea🤣🤣
Leo nataka wazione Hasira za Mzanaki, Mtutsi na Mmakuwa MImi. Nachukia sana KUDANGANYWA na kufanywa Popoma ( Mpumbavu ) kama walivyo hawa ( wao ) na Watanitambua leo Kudadadeki zao.
 
Kwenye Uzi wa mwanzo unamwambia kocha humtaki na mchezaji wake humtaki. Uzi watatu unalalamikia uongozi kuhusiana na kutomtangaza mchezaji unaempenda ambae Kwenye Uzi wa kwanza ulimkana. Wanabodi wakusaidie unatatizo kubwa tu Kwenye kichwa. Mpaka jioni Kuna nuzi 20+ maana Kwa dk 20 nyuzi 4 mpaka sasa
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?
 
Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani.

Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na Simba SC ili aratibu vizuri Upigaji na Wamefanikiwa kwa 75% kwani hivi sasa Klabu ya Simba inamfaidisha zaidi Kibiashara Mo Dewji kuliko yenyewe inavyofaidika na Mo Dewji.

Watendaji wa FCC, Baraza la Michezo ( BMT ) na Mamlaka ya Kodi 'walihongwa' ili Kukamilisha ule Usanii wa ile 'Dummy Cheque' ya Tsh Bilioni 20 Ili tu Mashabiki wa Simba SC ( Mambumbumbu FC Original ) tuaminishwe, tutulie na Samjo Samjo ( Mo Dewji ) aendelee 'Kutupiga' na 'Anatupiga' kweli kweli Mhindi huyu.

Si mmejifanya Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kunifanya Nikeshe leo kama Popo? Mtanitambua naendelea tu 'Kuwaanikeni' Alfajiri hii.
Dogo hizo k vant zinakuharibia reputation yako

Kunywa maji tu sasa
 
Una tatizo la akili naanza kuhisi utakuwa chizi, ila kwa upeo wako mdogo na wajinga wenzio unajiona "genious"

Thread zako nyingi unatafuta umaarufu kwa kuwadanganya wajinga, unaandika mambo mengi ambayo huna uhakika nayo, unajaza assumptions, umbea kuwasema watu personally, huna lolote la maana.

Unapodai kwa sababu Simba SC imeshindwa kumsajili Manzoki ndio unaropoka hovyo bila hapo ndipo nathibitisha una tatizo la akili, wewe ni pure mental, anaejielewa hatakiwi kuhangaishwa nawe.

Halafu unaposema hao wajumbe wa FCC walihongwa na Mo, una ushahidi? kama unao tuwekee hapa tuone, au nenda mahakamani.

Unadai Mo anajifaidisha binafsi kuliko Simba SC inavyofaidi, tuambie how? Simba SC imewahi kukosa nini chini ya umiliki wa Mo mpaka usema inanyonywa?

- Imewahi kushindwa kusajili mchezaji yeyote kwa kuzidiwa pesa na timu yoyote hapa ndani?

- Imewahi kukosa mishahara ya wachezaji hata mara moja?

- Imewahi kushindwa kusafiri kwenda popote kucheza mechi zake?

Wewe popoma unaiona bil. 20 nyingi hujiulizi mpaka leo Simba SC imefanikiwa kimataifa imeshatumia kiasi gani?
una mihemko ya kitoto ila unajiona mjanja!

Kuhusu Bilioni 20 wewe na wajinga wenzio mwanzo mlikuja na cheki feki, mkaona hiyo single hailipi, sasa mnapiga kelele hazipo, kama mnaamini hazipo nendeni mahakamani mkamshtaki Mo kwa udanganyifu mtapatia majibu huko, msiwachoshe akili werevu.
 
Mataahira ya Utopwinyo ndiyo yanamshangilia kweli kweli. Yaani rahisi sana kuwachota akili hawa gongowazi
 
Wewe naye pia ni mjiga tu ukweli uko wazi timu za Simba na Yanga zote zinashida kubwa tu kwenye uongozi simsupport mtoa Uzi Ila ukweli zinashida huitaji PhD kulijua hili
 
Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani.

Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na Simba SC ili aratibu vizuri Upigaji na Wamefanikiwa kwa 75% kwani hivi sasa Klabu ya Simba inamfaidisha zaidi Kibiashara Mo Dewji kuliko yenyewe inavyofaidika na Mo Dewji.

Watendaji wa FCC, Baraza la Michezo ( BMT ) na Mamlaka ya Kodi 'walihongwa' ili Kukamilisha ule Usanii wa ile 'Dummy Cheque' ya Tsh Bilioni 20 Ili tu Mashabiki wa Simba SC ( Mambumbumbu FC Original ) tuaminishwe, tutulie na Samjo Samjo ( Mo Dewji ) aendelee 'Kutupiga' na 'Anatupiga' kweli kweli Mhindi huyu.

Si mmejifanya Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kunifanya Nikeshe leo kama Popo? Mtanitambua naendelea tu 'Kuwaanikeni' Alfajiri hii.
Hili shinikizo likiendelea Manzoki atanunuliwa kwa bei wanayoitaka Vipers.
 
Wewe naye pia ni mjiga tu ukweli uko wazi timu za Simba na Yanga zote zinashida kubwa tu kwenye uongozi simsupport mtoa Uzi Ila ukweli zinashida huitaji PhD kulijua hili
Wewe ndio miongoni mwa wale wafuasi wa popoma, mnaolishwa pumba mnazifakamia wala hamna upeo wa kuchambua mambo kwa upana wake.
 
Una tatizo la akili naanza kuhisi utakuwa chizi, ila kwa upeo wako mdogo na wajinga wenzio unajiona "genious"

Thread zako nyingi unatafuta umaarufu kwa kuwadanganya wajinga, unaandika mambo mengi ambayo huna uhakika nayo, unajaza assumptions, umbea kuwasema watu personally, huna lolote la maana.

Unapodai kwa sababu Simba SC imeshindwa kumsajili Manzoki ndio unaropoka hovyo bila hapo ndipo nathibitisha una tatizo la akili, wewe ni pure mental, anaejielewa hatakiwi kuhangaishwa nawe.

Halafu unaposema hao wajumbe wa FCC walihongwa na Mo, una ushahidi? kama unao tuwekee hapa tuone, au nenda mahakamani.

Unadai Mo anajifaidisha binafsi kuliko Simba SC inavyofaidi, tuambie how? Simba SC imewahi kukosa nini chini ya umiliki wa Mo mpaka usema inanyonywa?

- Imewahi kushindwa kusajili mchezaji yeyote kwa kuzidiwa pesa na timu yoyote hapa ndani?

- Imewahi kukosa mishahara ya wachezaji hata mara moja?

- Imewahi kushindwa kusafiri kwenda popote kucheza mechi zake?

Wewe popoma unaiona bil. 20 nyingi hujiulizi mpaka leo Simba SC imefanikiwa kimataifa imeshatumia kiasi gani?
una mihemko ya kitoto ila unajiona mjanja!

Kuhusu Bilioni 20 wewe na wajinga wenzio mwanzo mlikuja na cheki feki, mkaona hiyo single hailipi, sasa mnapiga kelele hazipo, kama mnaamini hazipo nendeni mahakamani mkamshtaki Mo kwa udanganyifu mtapatia majibu huko, msiwachoshe akili werevu.
Huwa siyumbishwi na wala sipotezewi muda na Wapumbavu na Mataahira wa Mfano wako hapa JamiiForums sawa?

Nakuuliza Swali Kuntu sasa kama unajua GENTAMYCINE nakukera na hunipendi wala Huniamini hizo Nyege zako Mshindo za kila Siku ( 24/7 ) kupenda Kunifuatilia hapa JamiiForums huwa unazitoa / unatoa wapi?

Hivi GENTAMYCINE kama mpaka sasa nina 'Followers' takriban 115 na wanazidi tu Kuongezeka ( wala siwaombi Wanifolo ) nina haja ya kutafuta Umaarufu hapa JamiiForums?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?

Huna / Hamna Akili.
 
Back
Top Bottom