Search results

  1. amadala

    Huyu ataoa kweli?🤣

    Na yeye utamsikia👇 Kataa ndoa, Ndoa ni usanii.
  2. amadala

    Prof. Mkenda walipe walimu hela zao

    Wizara ya elimu chini ya Profesa Mkenda hii aibu mnaitaka bila sababu. Kama mlijua fedha hakuna kulikuwa na haja gani ya kuita waalimu toka mikoani kuja Arusha kwenye semina na wamekaa wiki mbili mpaka wanamaliza tarehe 2 Mei,2023 hamjawalipa fedha zao. Huu mradi wa SEQUIP imefadhiliwa na benki...
  3. amadala

    Ndoa kwa mara nyingine Tena ya Dula Makabila na Mpenzi wake Naira wa Jua Kali

    Hello!! Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga...
  4. amadala

    Ukinitongoza tu lazima unioe

    Hello 👋 Hiyo ndio hashtag mpya kwa Sasa, wale wa #kataa ndoa Karibuni 🙏
  5. amadala

    I took my boda for a movie

    Hello 👋 Ni upendo tu🥰 Muwakumbuke bodaboda wenu mnaowatumaga vitu vya nyumbani na safari za hapa na pale. Mwaka wa bodaboda huu wadada wameamua kuwabariki😎
  6. amadala

    Kulala kazini nchini Japan sio kosa

    Hello 🤗 #UNAAMBIWA: Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa. Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda mfupi kidogo huonekana kuwa ni Mfanyakazi hodari na alama ya ushindi kwa Boss kwamba amefanya kazi...
  7. amadala

    UCHAWA Hadi lini? Shigongo tupumzishe na huu UCHAWA wako

    Hello 👋 Katika nchi zinazotumia wizi kama nguzo kuu Kuna vitu very common miongoni mwao kama KUTUKUZANA, KUBANA VYOMBO VYA HABARI, KUBANA UHURU WA UMMA NA KUOGOPA KUKOSOLEWA. Viongozi wetu wanaingia bungeni kwa lengo la kutengeneza pesa na sio kutatua shida za wananchi, HAWAPIGI KELELE...
  8. amadala

    Nahitaji kibali cha kufunga fire extinguisher na vitu kama hivyo

    Hello wadau! Kwenye uelewa wa hivi vitu naomba anipatie Muongozo. Asante
  9. amadala

    Ni wateja Gani ulikutana nao wakakupa changamoto? Wa kwangu huyu hapa

    Hello wadau!! Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa. Straight to the topic Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa...
  10. amadala

    Couple yenu inamiliki chombo kipi Cha moto?

    Namba 1. Pikipiki Namba 2. Gari Mpo namba ipi?
  11. amadala

    Okwi atua club ya Al Zawra ya Iraq

    Aliekuwa nyota wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi amethibitisha kutua club ya Al Zawra. Tayari ametambulishwa jijini Baghdad kukipiga ndani hiyo timu.
  12. amadala

    Polisi na tabia ya gari ikikamatwa kubadili vifaa na kuweka vya zamani

    Hello Wadau! Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti. Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na...
  13. amadala

    Uchawi sensa; Makarani wakosa nyumba na kukuta miti na vichaka

    Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Igunga, Ally Hemed amesema moja kati ya changamoto kubwa iliyojitokeza Wilayani humo kwa baadhi ya maeneo ni Makarani wa Sensa kukutana na vitendo vya kishirikina ambapo walipokuwa wakienda kwenye makazi au nyumba wanakutana na miti au vichaka badala...
  14. amadala

    Pilau vs Biriani

    Hello Wadau!! Kati ya BIRIANI na pilau wewe unapendelea zaidi chakula kipi Kati ya hivyo viwili? Binafsi napenda Pilau. Wewe je? 👆PILAU. 👆BIRIANI
  15. amadala

    Taarifa kwa Wanaoagiza Bidhaa Kutoka China

    Hello Everyone! Tahadhari muhimu kutoka ubalozi wa Tanzania nchini China. Tunatakiwa kufanya yafuatayo Ili kuepuka kuibiwa na makampuni hewa👇
  16. amadala

    Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

    Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka. Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu. Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana leo mmekula kiapo. Kongolee once again 💋
  17. amadala

    Simba haisajili kiholela, inasajili kwa mpangilio.

    Habari Wadau! Kama kichwa kinavyojieleza na Mkurugenzi wetu amemaliza, ujumbe kwa wale wanaoona tunachelewa kumaliza usajili wa wachezaji ni hivi,"HATUSAJILI KIHOLELA,TUNASAJILI KWA MPANGILIO" Uzi tayari
  18. amadala

    Billionaire Shillah anusurika kubakwa

    Hello Wadau!! Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa. Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
Back
Top Bottom