Kulala kazini nchini Japan sio kosa

amadala

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
3,575
10,259
Hello 🤗

#UNAAMBIWA: Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa.

Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda mfupi kidogo huonekana kuwa ni Mfanyakazi hodari na alama ya ushindi kwa Boss kwamba amefanya kazi sana na anatambua umuhimu wa kupumzika kidogo ili kupata nguvu mpya ya kuendelea kulipambania kombe.

Vipi kwa nchi zetu suala la mfanyakazi kujipumzisha kidogo limekaaje? Na mwajiri huwa anapata picha gani?

2904585a566b4059806a01cf1a37afd0_328463216_2382298115280509_1185892458091269713_n.jpg
 
That one shall never in African countries whatsoever!

Huku Africa ukichelewa kazini dakika Moja tu achilia mbali kulala kazini unapigwa mikwara ya kufutwa kazi.
 
Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa.

Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda mfupi kidogo huonekana kuwa ni Mfanyakazi hodari na alama ya ushindi kwa Boss kwamba amefanya kazi sana na anatambua umuhimu wa kupumzika kidogo ili kupata nguvu mpya ya kuendelea kulipambania kombe.

Unaonaje na hii sheria iletwe nchini Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom