Ni wateja Gani ulikutana nao wakakupa changamoto? Wa kwangu huyu hapa

amadala

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
3,628
10,362
Hello wadau!!

Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa.

Straight to the topic
Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa kuwa hii site kazi ilipokamilika muhusika amegoma kumalizia malipo ya mwisho (huyu muhusika ninampa jina la Clifford), isiwe tabu Amadala nikasogea eneo la tukio kuhakikisha nikaona hii issue ni nzito.

Nikapiga mahesabu yangu ya linear programming nikauvaa uhusika wa mafian consigliere nikaenda kuripoti kituo Cha polisi karibu na hapo.

Baada ya masaa kama mawili nilikuja kwenye Ile site nikiwa nimeongozana na mapongo wawili kufika pale Clifford alitema shombo balaa na mbaya zaidi akaenda hatua kumi mbele za kipumbavu kwa kubadili vifaa vya system niliyofunga na kuweka vya zamani.

Mazungumzo hayakuzaa matunda, kesho yake tulifika wote na Clifford kituo Cha polisi tukaitwa na yule mpongo ambae ni mpelelezi kuandika maelezo na alijaribu Tena kumsihi Clifford anipatie pesa yangu ila juhudi hazikuzaa matunda hivyo faili likasogea kunako viunga vya mahakama Ili hakimu na wazee wa baraza wafanye maamuzi Yao.

cc046a34-808d-4be4-921b-7a7f0cb0797c-Screen_Shot_2020-01-15_at_11.13.02_AM.png

Clifford kiumri alikuwa amenizidi zaidi ya miaka 15 yaani Zaidi hata ya kaka yangu wa kwanza alininyamba mbele ya mapongo huna uwezo wa kuwa na huu mzigo and bla bla bla lakini haikuwa na maana kwa kuwa nilichodai ilikuwa haki yangu.

Upande mwingine, Ule mzigo haukuwa wa kwangu nimechukua kwa supplier hivyo nilitakiwa kulipa ndani ya siku nilizomaliza kazi after 4 days supplier alinipigia kwenye simu, "Hello Amadala nimekupigia kuulizia pesa yangu naona kimya".

Hamna namna ikabidi nimwambie Kila kituo kinachoendelea. Basi akaniambia, "Amadala kwenda polisi ni kupoteza muda wako na pesa achana na hayo mambo "

Nikamjibu sawa ila huo ushauri uliingia kulia ukatoka kushoto niliendelea na harakati zangu za kufika viunga vya mahakamani Kila nilipohitajika na sikutaka kujiingiza kwenye deni kirahisi kwanza hiyo hela ingenirudisha nyuma.

Basi kesi yetu ilisomwa mahakamani, tukasikilizwa pande zote mbili na mashahidi wangu na wa Clifford wakaitwa.

Namshukuru Mungu pia Ile kesi ilienda speed mithili ya Honda CX-5 baada kama ya miezi mitatu ilikamilika.

Hukumu ilitoka ambapo Clifford alitakiwa kulipa pesa yote siku ileile ya hukumu maana kesi haikuwa ya madai Tena Bali ni JINAI kwa kujipatia huduma kwa njia ya udanganyifu na alihukumiwa mwaka mmoja jela au faini ya 300,000 japokuwa alilipa hiyo hela.

lw-gavel-icon-line-court-symbol-vector-21088259.jpg

Supplier wangu alinivumilia Hadi siku nilipolipwa basi nikampa pesa yake nikamalizana nae. (Hata kama alikuwa ananidai sikuwahi kumuhama nilikuwa naendelea na issue zangu nyingine vilevile)

Ile siku ya hukumu wakati natia Saini karatasi za hukumu hakimu aliniomba namba yangu baada ya siku chache namba ngeni iliingia kama kawaida Amadala nikiona namba ngeni najua ni wateja wangu always nasema Hello!! Karibu.

Alijitambulisha akanipa ramani alinipigia pande somewhere nikapiga mzigo nikarudisha hela za mafuta.

Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika mahakamani na ndio ilikuwa challenge yangu kubwa niliyokutana nayo kwa kipindi kile. Basi yaliisha your girl Amadala nipo zangu napiga mzigo kama kawaida.

Ulikutana na kisanga Gani?
Share tujifunze.

Screenshot_20221107-192206.jpg
 
Kwa mfano biashara yako ipo kigamboni alafu mteja yupo kimara anakwambia nifanyie delivery asubuh sana.

Kumbuka mode ya biashara ni receve..pay

Aiseee boda anafika kimara mwisho huko mteja hapokei...hiyo nauli yake ni kama mtu kaenda mkoani.mzigo ukarudi na ikabidi nimlipe bodaboda.

Japo sijaweza. Kubadilisha mfumo laki.ni mteja wa mbali namlia timing kali.
 
Usiache Kusave hizo namba

Kuna mmoja alinifanyia hayo maigizo nikasave namba

Sasa baada ya Kama mwaka naona ile namba inanipigia dada naomba kitu fulani halafu mwambie boda nampa namba anichukulie mzigo sehemu fulani,
Nikamjibu Sawa, nikamcheki boda nikamkumbusha Kisanga cha huyo mteja

Boda alivyofika akamwambia nilipe kwanza pesa yangu ya kipindi kileee ndo nikupe mizigo yako, akawa anazungusha Kumbe na huko kwingine alipochukua mzigo alikua hajalipia

Ikawa kama mzunguko fulani ila mwisho wa siku alikubali kulipa..
 
Nimeisevu dear
Kimara mteja
Haahaha alafu sasa wakati inatokea ndo nilikua mchanga kwenye biashara..ile siku niliwaza siku nzima.
Hiv hornet unapunguza vip risk kama hizi za wateja wa mbali na pay after receive
 
Kwenye kilinge cha Braza yangu Mshana Jr, alikuja mgonjwa yuko taabani, baada ya muda mgonjwa yule akapandisha mijidude, akaanza kuwatibu wagonjwa, akawahudumia wagonjwa vizuri kuliko anavyohudumia kaka, kesho yake wakafurika mamia ya wagonjwa wanataka huduma, ila hawataki tena kuhudumiwa na Kaka Mshana Jr wanamtaka yule mgonjwa wa jana awatibu
Hello wadau!!

Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa.

Straight to the topic
Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa kuwa hii site kazi ilipokamilika muhusika amegoma kumalizia malipo ya mwisho (huyu muhusika ninampa jina la Clifford), isiwe tabu Amadala nikasogea eneo la tukio kuhakikisha nikaona hii issue ni nzito.

Nikapiga mahesabu yangu ya linear programming nikauvaa uhusika wa mafian consigliere nikaenda kuripoti kituo Cha polisi karibu na hapo.

Baada ya masaa kama mawili nilikuja kwenye Ile site nikiwa nimeongozana na mapongo wawili kufika pale Clifford alitema shombo balaa na mbaya zaidi akaenda hatua kumi mbele za kipumbavu kwa kubadili vifaa vya system niliyofunga na kuweka vya zamani.

Mazungumzo hayakuzaa matunda, kesho yake tulifika wote na Clifford kituo Cha polisi tukaitwa na yule mpongo ambae ni mpelelezi kuandika maelezo na alijaribu Tena kumsihi Clifford anipatie pesa yangu ila juhudi hazikuzaa matunda hivyo faili likasogea kunako viunga vya mahakama Ili hakimu na wazee wa baraza wafanye maamuzi Yao.

View attachment 2409589

Clifford kiumri alikuwa amenizidi zaidi ya miaka 15 yaani Zaidi hata ya kaka yangu wa kwanza alininyamba mbele ya mapongo huna uwezo wa kuwa na huu mzigo and bla bla bla lakini haikuwa na maana kwa kuwa nilichodai ilikuwa haki yangu.

Upande mwingine, Ule mzigo haukuwa wa kwangu nimechukua kwa supplier hivyo nilitakiwa kulipa ndani ya siku nilizomaliza kazi after 4 days supplier alinipigia kwenye simu, "Hello Amadala nimekupigia kuulizia pesa yangu naona kimya".

Hamna namna ikabidi nimwambie Kila kituo kinachoendelea. Basi akaniambia, "Amadala kwenda polisi ni kupoteza muda wako na pesa achana na hayo mambo "

Nikamjibu sawa ila huo ushauri uliingia kulia ukatoka kushoto niliendelea na harakati zangu za kufika viunga vya mahakamani Kila nilipohitajika na sikutaka kujiingiza kwenye deni kirahisi kwanza hiyo hela ingenirudisha nyuma.

Basi kesi yetu ilisomwa mahakamani, tukasikilizwa pande zote mbili na mashahidi wangu na wa Clifford wakaitwa.

Namshukuru Mungu pia Ile kesi ilienda speed mithili ya Honda CX-5 baada kama ya miezi mitatu ilikamilika.

Hukumu ilitoka ambapo Clifford alitakiwa kulipa pesa yote siku ileile ya hukumu maana kesi haikuwa ya madai Tena Bali ni JINAI kwa kujipatia huduma kwa njia ya udanganyifu na alihukumiwa mwaka mmoja jela au faini ya 300,000 japokuwa alilipa hiyo hela.

Supplier wangu alinivumilia Hadi siku nilipolipwa basi nikampa pesa yake nikamalizana nae. (Hata kama alikuwa ananidai sikuwahi kumuhama nilikuwa naendelea na issue zangu nyingine vilevile)

Ile siku ya hukumu wakati natia Saini karatasi za hukumu hakimu aliniomba namba yangu baada ya siku chache namba ngeni iliingia kama kawaida Amadala nikiona namba ngeni najua ni wateja wangu always nasema Hello!! Karibu.

Alijitambulisha akanipa ramani alinipigia pande somewhere nikapiga mzigo nikarudisha hela za mafuta.

Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika mahakamani na ndio ilikuwa challenge yangu kubwa niliyokutana nayo kwa kipindi kile. Basi yaliisha your girl Amadala nipo zangu napiga mzigo kama kawaida.

Ulikutana na kisanga Gani?
Share tujifunze.

View attachment 2409591
Kaz
 
Kwenye kilinge cha Braza yangu Mshana Jr, alikuja mgonjwa yuko taabani, baada ya muda mgonjwa yule akapandisha mijidude, akaanza kuwatibu wagonjwa, akawahudumia wagonjwa vizuri kuliko anavyohudumia kaka, kesho yake wakafurika mamia ya wagonjwa wanataka huduma, ila hawataki tena kuhudumiwa na Kaka Mshana Jr wanamtaka yule mgonjwa wa jana awatibu

Kaz
Hiyo biashara lazima ife siku hiyohiyo 😂
 
Back
Top Bottom