herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,345
Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi.
Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na wanachelewesha kwa makusudi kabisa kutoa hizi fedha kwa wanafunzi kwa sababu wanazojua wenyewe.
Hizi fedha ni sawa na kaa la moto ukichezea lazima utaungua na kuishia kupata maumivu makali.
Institute of Finance Management - IFM hapo wana huu mchezo wako wanafunzi wanaosainishwa na wanalazimika kusubiri hadi mwezi mzima bila kupata hizi fedha hawa wale wasiotumia alama za vidole au fingerprint.
Hii tabia sio nzuri na mkiendelea mtapata kuwajibishwa na msije kujuta hapo baadaye hao wanafunzi wanaishi kwa shida sana.
Fedha imeshatolewa na Bodi ya Mikopo - HESLB mapema sana na wahusika wameshasaini mnachelewesha na mnakaa na hizo fedha muda mrefu ili iweje?