students

  1. Tracer

    NAOMBEN MSAAADA JUU YA VYUO VYA DIPLOMA VYA KUJAZA KATIKA SELFORM KIDATO CHA NNE

    Samahanin wakubwa.... NINA SWALI MOJA HIVI... .. ... ... Wakat wa kujaza selform form 4 unapewa na karatas flan hiv linakua limejazwa vyuo mbal mbal vinavyotoa diploma .. .. Sasa nauliza je, Unaruhusiwa kujaza vyuo vingine tofaut na vile vilivyopo qwenye lile karatas?? .. .. Mfano nikajaza...
Top