chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,164
- 2,416
Kama kichwa kinavyojieleza. Mfumo wa elimu wa vyuo vikuu umegubikwa na rushwa na degree za ngono hivyo kupelekea kuzalisha wahitimu wenye uwezo mdogo. Hili tatizo ni kukosekana kwa mfumo wa bodi ya mitihani ya vyuo vikuu ambayo ingesaidia mwanafunzi wa UDSM kufanya mtihani unaofanana na wa Teofilo Kisanji kama ilivyo NECTA. Na watakao mark mtihani wawe walimu wengine tofauti na waliowafundisha.