N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,826
- 9,533
Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity center of gravity " unajiegemeza bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho.
Nchi zinazoendelea kwa sasa zinajilengesha Asia sio Paris Club tena au IMF nk. Uchina ndo kashika hatamu.
Nchi zinazoendelea kwa sasa zinajilengesha Asia sio Paris Club tena au IMF nk. Uchina ndo kashika hatamu.