Kila mwaka...
Maelfu ya wanafunzi wanahitimu.
Wote wana...
Degree
CV
Coursework inayofanana
______
Sasa waza...Wewe Ni recruiter
umemaliza ? Kama Umesema Ndiyo...lets assume
Una CV 500 mezani
Una dakika 2 tu kuchuja
Nani ataonekana?
________
Kama kila CV inafanana...
Wewe utajitofautisha vipi...
Nimesoma katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) na nilihitimu miaka mitatu iliyopita katika programu ya Bachelor of Technical Education in Civil Engineering.
Mwanzoni tulielezwa kuwa programu hiyo ingekuwa na faida mbili; mhitimu angeweza kuwa na sifa za uhandisi (Engineer)...
Anonymous
Thread
bachelor
civil engineering
education
hata
kujiajiri
must
sokolaajira
Soko la ajira la siku hizi limekuwa la ajabu sana.
Unaweza kuwa rejected kwa sababu yoyote isiyo na mashiko.
REJECTED.
Your current salary is too high — REJECTED.
You're over 40 — REJECTED.
You don't have enough experience — REJECTED.
You have too much experience — REJECTED.
Your notice...
Kizazi cha sasa (𝗚𝗘𝗡 𝗭 ) kipo katikati ya mapinduzi makubwa zaidi ya soko la ajira tangu kuanza kwa karne ya 21. Kwa wadogo zangu mnaojiandaa kuingia vyuo vikuu baada ya matokeo ya Kidato cha Sita, huu ni wakati wa kufanya maamuzi kwa kutumia takwimu na uhalisia, sio mihemko.
Ujio wa AI...
Ndugu zangu nisaidieni,nataka kijana wangu akimaliza form six nimshauri asome kozi ya Architectural Design Ardhi University,vipi kozi hii kwa sasa ina soko kweli?
Habari wakuu,
Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inayotolewa katika chuo cha ufundi arusha (ATC) ambayo ina miaka 5 toka iyanzishwe inapitia magumu sana kwa wanafunzi wanayosoma kwasababu hakuna mitambo ya kujifunzia uliopo ni fuvu tu haifanyika kama ilivyo hapo...
Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls. Halafu cha ajabu kuna viongozi serikalini wanapiga madongo na kuweka uadui kwa wana diaspora wenye kazi za maana huko USA na EU wenyewe wanatafutia vijana wetu kazi za mahouse girls na wahouse boys. Kazi zinazohitaji elimu unakuta...
Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30).
Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3.
Je matokeo yake ya kidato Cha nne yanaweza kufanya asipate ajira Kwa upande wa CV?
Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi.
Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi.
Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
Siku hizi ajira nyingi za maduka ya madawa haswa dldm wanahitaji either nurse au clinical officer kwa kigezo cha kuuza dawa na kuchoma sindano wakipata mgonjwa wa namna hiyo.
Pharmaceutical technicians huwa wanatoswa kwenye hizi ajira jambo ambalo linawauma sana.
Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
UZAMIAJI
UTAPELI
UKAHABA
USHOGA
UHARIFU
URAIBU
Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%.
Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hayo Februari 10, 2025...
Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani.
Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
HABARI WANAJAMII!!
Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea.
Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina changamoto ya...
HABARI WANAJAMII!!
Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina...
Mimi ni mtu najiusisha Sana na sector ya ujenzi na muda mwingi nakuwa field yaani kwenye mazingira ya kazi.
Kumekuwa na dhana ya wanasiasa kuwaambia vijana fanyeni kazi Mimi najiuliza hizo kazi zipo wapi?
Kwa siku napokea vijana wanaoomba kazi kwenye mizunguko yangu sio chini ya 3 wapya...
Kuna programme mpya zinaanzishwa vyuoni hasa vyuo vikuu lakini hazijulikani kwa waajiri. Programme hizi zinaweza kuwa zinampa vigezo mtu aliyechukua hizo programme lakini anashindwa kupata kazi kwa sababu waajiri hawazitambui na akienda kuomba kazi wanamwambia wanahitaji mtu aliyesoma programme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.