Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Screenshot 2024-03-19 111741.png
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo".

Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE.

Zaidi ya Dola Milioni 40 zilitolewa au kuhamishiwa kwa benki zingine, vyombo vya habari vya ndani viliripoti.

Ilichukua saa kadhaa kwa taasisi hiyo kusimamisha shughuli.

Rais wa CBE, Abe Sano amesema pesa nyingi zilichotwa na Wanafunzi katika benki hiyo inayomilikiwa na Serikali kwa kuwa wao (Wanafunzi) ndio walioanza kubaini hitilafu katika vyuo vikuu kwa kiasi kikubwa kupitia programu za ujumbe na simu.

Imeelezwa kuwa kulikuwa na foleni ndefu kwenye ATM za chuo Saa saba usiku ambapo utoaji fedha uliendelea hadi Maafisa wa Polisi walipofika chuoni kuwazuia.

Mwanafunzi mwingine, katika Chuo Kikuu cha Dilla kusini mwa Ethiopia, alisema baadhi ya wanafunzi wenzake walipata pesa kutoka CBE kati ya Saa sita Usiku na Saa Nane Usiku.

Zaidi ya Watu Milioni 38 wana akaunti katika CBE, ambayo ilianzishwa miaka 82 iliyopita.

=================

Commercial Bank of Ethiopia glitch lets customers withdraw millions

Ethiopia's biggest commercial bank is scrambling to recoup large sums of money withdrawn by customers after a "systems glitch".

The customers discovered early on Saturday that they could take out more cash than they had in their accounts at the Commercial Bank of Ethiopia (CBE).

More than $40m (£31m) was withdrawn or transferred to other banks, local media reported.

It took several hours for the institution to freeze transactions.

Much of the money was withdrawn from state-owned CBE by students, bank president Abe Sano told journalists on Monday.

News of the glitch spread across universities largely via messaging apps and phone calls.

Long lines formed at campus ATMs, with a student in western Ethiopia telling BBC Amharic people were withdrawing money until police officers arrived on campus to stop them.

The student, who attends Jimma University Institute of Technology, said he "did not believe it was true" when his friends told him at around 01:00 local time (22:00 GMT) that it was possible to withdraw large amounts from ATMs, or transfer the money using the bank's app.

Another student, at Dilla University in southern Ethiopia, said a number of his peers retrieved money from CBE between midnight and 02:00 local time.

More than 38 million people hold accounts at CBE, which was established 82 years ago.

Ethiopia's central bank, which serves as the financial sector's governing body, released a statement on Sunday saying "a glitch" had occurred during "maintenance and inspection activities".

The statement, however, focused on the interrupted service that occurred after CBE froze all transactions. It did not mention the money withdrawn by customers.

Mr Sano did not say exactly how much money was withdrawn during Saturday's incident, but said the loss incurred was small when compared to the bank's total assets.

He stated that CBE was not hit by a cyber-attack and that customers should not be worried as their personal accounts were intact.

At least three universities have released statements advising students to return any money not belonging to them that they may have taken from CBE.

Anyone returning money will not be charged with a criminal offence, Mr Sano said.

But it's not clear how successful the bank's attempts to recoup their money has been so far.

The student from Jimma University said on Monday he had not heard of anyone giving the money back, but said he had seen police vehicles on campus.

An official at Dilla University said bank employees were on campus collecting money that some students were returning voluntarily.

Source: BBC
 
Iyo ndio faida ya Elimu
 
Dunia hii wezi ni wengi sana, huwa tunawacheka walio gerezani ila wengi wetu tulipaswa humo....najaribu kuwaza anachopitia aliyesababisha hilo tatizo, yaani hii mifumo hii.....ha ha ha
Wanadai ni hackers cyber attackers waliiba 280 Ethiopian birr kama dollars billion 3. Serikali inajaribu kuficha. Na hiyo benki CBE ni ya Serikali.

Source rafiki yangu muithopia tunabeba naye box.
 
Wanadai ni hackers waliiba 280 Ethiopian birr kama dollars billion 3. Serikali inajaribu kuficha. Na hiyo benji CBE ni ya Serikali.

Source rafiki yangu muithopia tunabeba naye box.

Hata kama ni hackers haiwezekani mfumo ukaibiwa masaa watu wanajitolea hela, binafsi am a system administrator, na kwenye mifumo yote huwa kuna controls and alarms, kwa mfano hata kama ukifaulu kudukua, ila unapoanza kutoa hela kila muamala huwa na controls nyingi sana ambazo huwa hazionekani na binadamu.
Fahamu kuna controls hata za kukagua spike kwenye traffic ya ATM, pale watu wakitoa hela ndefu wawili mfululizo hiyo ni alarm tayari.
 
Kanisa lilikupa hiyo kazi au ni Roho mtakatifu wako amekutonya ??
 
Wanakwambia ukitakaa kuona kwa jinsi gani tunaishi kwa unafiki mkubwa nyakati hizi- ni pale polisi watakapotangaza kwenda likizo sikuu kadhaaa. Watu watakavyoparamiaa madukaa kupora malii
 
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo".

Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE.

Zaidi ya Dola Milioni 40 zilitolewa au kuhamishiwa kwa benki zingine, vyombo vya habari vya ndani viliripoti.

Ilichukua saa kadhaa kwa taasisi hiyo kusimamisha shughuli.

Rais wa CBE, Abe Sano amesema pesa nyingi zilichotwa na Wanafunzi katika benki hiyo inayomilikiwa na Serikali kwa kuwa wao (Wanafunzi) ndio walioanza kubaini hitilafu katika vyuo vikuu kwa kiasi kikubwa kupitia programu za ujumbe na simu.

Imeelezwa kuwa kulikuwa na foleni ndefu kwenye ATM za chuo Saa saba usiku ambapo utoaji fedha uliendelea hadi Maafisa wa Polisi walipofika chuoni kuwazuia.

Mwanafunzi mwingine, katika Chuo Kikuu cha Dilla kusini mwa Ethiopia, alisema baadhi ya wanafunzi wenzake walipata pesa kutoka CBE kati ya Saa sita Usiku na Saa Nane Usiku.

Zaidi ya Watu Milioni 38 wana akaunti katika CBE, ambayo ilianzishwa miaka 82 iliyopita.

=================

Commercial Bank of Ethiopia glitch lets customers withdraw millions

Ethiopia's biggest commercial bank is scrambling to recoup large sums of money withdrawn by customers after a "systems glitch".

The customers discovered early on Saturday that they could take out more cash than they had in their accounts at the Commercial Bank of Ethiopia (CBE).

More than $40m (£31m) was withdrawn or transferred to other banks, local media reported.

It took several hours for the institution to freeze transactions.

Much of the money was withdrawn from state-owned CBE by students, bank president Abe Sano told journalists on Monday.

News of the glitch spread across universities largely via messaging apps and phone calls.

Long lines formed at campus ATMs, with a student in western Ethiopia telling BBC Amharic people were withdrawing money until police officers arrived on campus to stop them.

The student, who attends Jimma University Institute of Technology, said he "did not believe it was true" when his friends told him at around 01:00 local time (22:00 GMT) that it was possible to withdraw large amounts from ATMs, or transfer the money using the bank's app.

Another student, at Dilla University in southern Ethiopia, said a number of his peers retrieved money from CBE between midnight and 02:00 local time.

More than 38 million people hold accounts at CBE, which was established 82 years ago.

Ethiopia's central bank, which serves as the financial sector's governing body, released a statement on Sunday saying "a glitch" had occurred during "maintenance and inspection activities".

The statement, however, focused on the interrupted service that occurred after CBE froze all transactions. It did not mention the money withdrawn by customers.

Mr Sano did not say exactly how much money was withdrawn during Saturday's incident, but said the loss incurred was small when compared to the bank's total assets.

He stated that CBE was not hit by a cyber-attack and that customers should not be worried as their personal accounts were intact.

At least three universities have released statements advising students to return any money not belonging to them that they may have taken from CBE.

Anyone returning money will not be charged with a criminal offence, Mr Sano said.

But it's not clear how successful the bank's attempts to recoup their money has been so far.

The student from Jimma University said on Monday he had not heard of anyone giving the money back, but said he had seen police vehicles on campus.

An official at Dilla University said bank employees were on campus collecting money that some students were returning voluntarily.

Source: BBC
Natamani hii itokee Nmb jaman

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Bonge la bakhti bin rizk
 
Back
Top Bottom