Licha ya ushahidi wa AL Jazeera, kwanini Hamas hawataki kuomba msamaha familia za Wapalestina 500 waliofariki kwa kombora lao kupata hitilafu?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".

Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA

18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka

Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
 
View attachment 2785832

Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Hamas sio wajinga kama unavyofikilia. Kuna usemi unaosema ukibishana na mjinga nawe unakuwa.....
 
Hamas sio wajinga kama unavyofikilia. Kuna usemi unaosema ukibishana na mjinga nawe unakuwa.....
Mate ya nini wakati wino upo, chanzo cha video ni Al Jazeera channel inayowasapoti Hamas,

safari ya uongo huwa ni fupi sana, jana Al Jazeera wamepiga sana kelele kudanganya watu ila mwisho wa siku wameumbuka, ushahidi umepatikana humo humo kwenye channel yao.
 
Rocket za hamas za kutengeneza sido? Wapi uliona roketi za hamas powerful kiasi hicho?
 
Unafikiri wana akili hao basi........walisema alwa akbar huku wanaua watu bila hatia ..........walivyo lipiziwa wanasema pray for Palestine.........alwa akbar asemwi tena..........wamebaki kutia huruma tu kujifanya wanaonewa
Kwa hiyo wewe ulitaka wafanyaje??
 
Hi vita itawaumiza sana watu wa palestina. Hawa magaidi wa hezbula na hamasi wasipo zuiliwa watafanya ile nchi ikaliwe na israel

MFumo wa kiulinzi wa israel upo strong sana kuweza kuzuia ICBM na missile za masafa ya kati

Naona huruma sana kwa rai wa kawaida vile wanaumia ila Lawama zangu zote naziweka kwa Kikundi cha kigaidi Hamasi
 
Back
Top Bottom