Kipindi nasoma same boys , nipo na mwanangu mmoja wa mwanza , hatuna ramani ya viroba kulandua kichwa ,na pcb imekaza kinouma lazima tuishtue na unyama fulani hivi😅
Tukazamia kitaa cha wapare , kusaka kazi ya kufanya tupate pesa , tukapata mchongo wa elfu 3000 kusafirisha trey la fulani...