azamtv

  1. senicoms

    Nawapataje Azam TV Call Center?

    Habari wadau, hivi nawezaje kuwapata Azam TV Call Center au Huduma kwa wateja? Nimeuliza hivyo kwa maana kila ninapo jaribu kuwapigia kwa namba zao zilizowekwa inachukua muda mrefu sana kusubiria hewani bila kupokelewa. Tafadhari kama kuna mdau mwenye namba nyingine naomba anitumie zaidi ya hii...
  2. B

    TCRA, tujuze kwanini Azam TV haiwekwi kwenye ving'amuzi kama Local channel

    Wadau. Naomba nieleweshwe ni kwa nini Azam tv kama moja ya local channel haiwekwi kwenye ving'amuzi kama zilivyo tv station nyingine . Kama mlivyotoa mwongozo ni haki kwa local channel kuonekana popote katika ving'amuzi vyetu. ====================================== Majibu Kutoka TCRA