chaneli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Gerson Msigwa atueleze kwanini anatumia chaneli za mabebru kutazama kombe la dunia na kutuachia TBC1 yenye ubora duni

    GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
  2. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nafikiri hii ndio chaneli pendwa ya mabeki tatu

    Ina vitamthilia vya ajabu ajabu, unakuta mara simba mweupe anapaa angani hukuu amseshikilia mkuki na miguu yake, kama sio utakuta zile za kihindi jamaa wanangaaliana kwa ukali karibia nusu saa , basi wadada unakuta wanafurahi sana.
  3. Trainee

    JamiiForums Tanzania Neno Mubashara: Chaneli ya taifa mnaharibu lugha, chaneli ya dini na nyinyi amueni moja mtumie kiswahili ama kiarabu

    Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mnavyozidi kujitangaza msisahau kuongeza/maintain chaneli Bora kuwe na machaguo tofauti

    Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila... Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
  5. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kama unauza YouTube chaneli nanunua

    Kama unauza YouTube chaneli nanunua, mawasiliano: 0756704145, Dar es salaam, Mbezi
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama una mwanao au dogo lako ameanza kufuatilia habari za kimataifa mwambie akae mbali na hizi chaneli

    1: CNN - Atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga. - Atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

    DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake. Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi. DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za michezo pekee kama wafanyavyo Canal Sports. Hii ikitiki itakuwa safi, japo wamechelewa sana.
  8. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Msaada, chaneli inayoonesha "Top 20" ya muziki Startimes

    Kwanza napenda niwapongeze 'Startimes' kwa kuiondosha kabisa chaneli namba 322 kwenye king'amuzi chao ambayo ilifahamika kwa St SA Music na kubadilishwa kusomeka St Kasi Music. Chaneli hii ilikuwa burudani tosha kwa wale wapenda muziki hasa wa Afrika Kusini na siku ya jumamosi walikuwa na...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
  10. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  11. Acehood

    JamiiForums Tanzania Chaneli gani inaonyeshwa fainali ya supercup Barcelona vs real Madrid

    Chaneli gani inaonyeshwa fainali ya supercup Barcelona vs real Madrid
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chaneli gani ya DSTV inaonesha Championship ya England?

    Uzi tayari
  13. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania DStv wametoa ofa ya chaneli zote bure kuanzia 27 mpaka 29 Desemba hata kama hujalipia

    Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana. DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29. Siku za karibuni DStv amekuwa akipungukiwa na wateja hii ni baada ya AzamTv kuliteka soko la ndani...
  14. BurtonSat_Shop

    JamiiForums Tanzania Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

    Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV) Katika SmartTv pia na Smartphone Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/= Hapo kuna Live tv 23,000+ Movies 10,000+ Series 10,000+ Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k Chaneli za D@STV 180+ C@nal Afrique 150+ Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mfundishe mwanao kujua upande mwingine wa dunia kwa kumuonesha chaneli za tv kama nat geo, history, etc sio kila muda ni komasava

    Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake. Anyway sio...
  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

    Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A) Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024. Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526

    Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo Bei ni 600,000 Simu 0753-215812.
  18. K

    JamiiForums Tanzania A-Z Jinsi ya kupata pesa kupitia chaneli ya YouTube

    Je, wajua kwamba waweza jipatia pesa nyingi sana kupitia Youtube? Labda unajiuliza ni jinsi gani jambo hili linawezekana! Leo nakupa maujanja kuhusu mchongo huu. Video nyingi ambazo hua unazitazama YouTube ni chanzo kikubwa sana cha pesa kwa wanaopost video hizo, yawezekana hujawahi kuujua...
  19. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

    Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama...
  20. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Canal+ chaanza kuwa na chaneli za Kiswahili

    Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa. King'amuzi hiko ambacho kinapatikana kwa connection hapa Tanzania, kimetokea kujizolea umaarufu mkubwa kwa wapenda kandanda.
Back
Top Bottom