azam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Azam tv acheni udini!king'amuzi chenu mmejaza Channel nyingi za dini moja kwanini

    Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  3. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania AZAM TV, ubora na gharama zenu haviendani

    azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Mpira Vimetusaliti: Wapi Uzalendo Wetu Wakati Taifa Linalia?

    Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi. Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha Uchafuzi wa jana. Tukawasalimie muda huu

    Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha uchafuzi wa jana tulioukataa Wananchi. Wanajifanya kutangaza matokeo ya Uchaguzi eti walioshinda uchaguzi. Wanatumiwa na Mafisadi na Wauaji kuhalalisha upuuzi wao. Wananchi twendeni tukavichome hivi vituo muda huu
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tukimaliza Ikulu tunaenda kwa machawa wote. Tunaanzia Ofisi za Azam, Efm, Clouds Tv na ITV

    Machawa wote lazima wafundishwe kusema kweli daima na kusimamia ukweli siku zote. Machawa wote na vyombo vyao vya propaganda lazima tuwafundishe adabu
  7. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waamuzi mechi za JKT vs Azam na Mbeya City vs Yanga wafungiwa. Bacca wa Yanga afungiwa michezo mitano

    Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC. Ibrahim...
  9. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Full Time: Azam Fc 2 -0 El Merriekh | second leg | Kombe la Shirikisho Afrika| Azam Complex | 28/09/2025

    Wakuu jambo lipo live nina imani Ibenge anaenda kuipa heshima kubwa Azam Fc kimataifa msimu huu nawaona robo fainali kwa mara ya kwanza.
  10. Trainee

    JamiiForums Tanzania Azam TV leo bure tu

    Chaneli zipo free tu sijui kuna aliyebonyeza kitufe kisichotakiwa kubonyezwa
  11. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mnazingua

    Nimelipia king'amuzi toka jana channel hazifunguki,namba zenu za simu hazipokelewi.Mna nini?
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Msigwa awakabidhi Azam Fc Milion 10 za Goli la Mama

    Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa katika mashindano ya Kimataifa, Azam Fc walipata ushindi wa Goli 2 dhidi ya El Merriekh ya sudan...
  13. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Azam TV tafuteni wakalimani

    Kinachoendelea hapa KMC Complex kwenye mahojiano baada ya Mechi ya KMC dhidi ya Singida BS Kati ya Mtangazaji na makocha Gamond na Maximo ni aibu.
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

    ISLAMIC FOOTBALL CLUB
  15. A

    JamiiForums Tanzania BADALA YA KUIPUUZA KAGAME CUP, KWANINI SIMBA, AZAM NA YANGA WASINGEPELEKA JUNIOR SQUADS...HII INGEKUWA PRE-SEASON TOSHA KWAO

    Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo... Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa...
  16. misasa

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge anavyoisuka Azam sitoshangaa msimu ujao akibeba kömbe la NBC hata Shirikisho, Mark My Words

    Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Najiuliza je Azam wamemlipa fei toto mabilioni kwa ajili ya mechi za ndani ama ndio fei toto akawabebe na kimataifa CAF ?

    Hili swali huwa najiuliza sana toka nilivyosikia azam wamemlipa fei toto bilioni. Na mshahara wa milioni 50 sijui milioni 40 kwa mwezi ? Kwa kumtazama toka nimemjua Fei toto , kwenye mechi ngumu za kimataifa.. huwa hana maajabu na anakuwa mzigo uwanjani. Fei toto wa kimataifa Yupo vile vile...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mechi ya Leo na Umuhimu wake kama ningekuwa Kocha Watanzania mngenisamehe kwani Kikosi changu kingejaa wa Yanga, Simba na Azam tu

    Tusidanganyane na tusiwe Wanafiki wachezaji wenye Kucheza hizi Mechi za AFCON kiushindani ni wa Yanga, Simba na Azam tu pekee na kwa hao wengine tunabahatisha tu. Mpira wa sasa unahitaji Exposure hivi Wachezaji wa KMC FC sijui Mashujaa sijui Coastal Union SC na timu nyinginezo wana hiyo...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Azam FC ni Azam FC

    I will be short Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam FC tu, tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home Today they lost 1 nil As Kigali 1 - Azam FC 0 As Kigali wasted about 4 big chances.
Back
Top Bottom