Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
Kamati ya Mashindano ya TFF imeitoza Azam FC faini ya shilingi milioni 50 kwa kukataa kushiriki kwenye sherehe za kukabidhiwa tuzo na zawadi baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyochezwa Julai 4, 2026 katika Uwanja wa Gombani, Pemba.
Katika maamuzi hayo, kocha wa makipa wa Azam FC...
Ndilo tatizo la watanzania and in particular Watanganyika. Ni mazwazwa kwa sababu hakuna anayeangalia Tv stations za nje kama Al Jazeera, CNN, BBC, Kenyan TVs. Ukishaangalia Azam, TBC, basi umekwiaha. And watawala are taking advantage of this.
Ukishashindwa kuwa class conscious, basi unaingia...
Inasikitisha sana lakini ukweli mchungu katika soka letu ni kwamba kuna michezo michafu inachezwa na kusimamiwa na timu moja inayojinasibu kuwa bora kwa miaka mitano mfululizo.
Hawa watu ndio walitekeleza jukumu la kuhakikisha anapangwa mwamuzi ambaye angeathiri saikolojia ya wachezaji wa Simba...
Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania.
Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika...
"Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga.
Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo...
Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa.
Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa hii kushughulikia suala hili kwa kuweka taarifa sahihi na wazi kwenye vifungashio. Watumiaji wana haki...
Anonymous
Thread
azam
energy
energy drinks
katika
kiwango
kukosekana
Kati ya Timu nne zitakazoiwakilisha Tanzania kwenye mechi za CAF ni Azamu tu ndiyo hadi sasa hivi haina tuzo yoyote. Angalia
(1) YANGA: Community Shield, Mapinduzi, na NBC Premier
(2) SIMBA: Muungano
(3) AZAM: .................
(4) SINGIDA BS: CECAFA
Itapendeza sana iwapo Azam nayo angalau...
Mpango wetu ulienda kama ambavyo tulipanga. Scratch my back and i will scratch yours.
Azam atufunge Shirikisho apite akapambane na Simba akachukue kombe akashiriki Kimataifa. Maana amewekeza sana kwenye usajili. Ni aibu akikosa shiriki CAF. Na ushindi wake kwetu usingemsaidia kitu kwenye ligi...
Honla
Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama
Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28 yaani ukiwa unanunua kifurushi cha elf 7 kila wiki cha elf mara nne yaani mwezi mzima inakuja elf 28...
Acheni kabisa nlishindwa kuwa nalipia DSTV Explorer. Nikajikuta nami naanza kuangalia king'amuzi cha Azam.
Jambo hilo nlisema halitatokea tena. Nikapata kazi nikaanzisha na biashara. Mwaka huu natumia DSTV EXPLORER sitaki tena Uswahili swahili.
Ile decoder nliiipasua pasua since then na dish...
Sura nyingi za wachambuzi wa kombe la dunia kupitia Azam TV mwaka huu hazitii moyo wala hazifahamiki. Tutegemee kuwa "bored" au?
Tuwachambue hapa! Dr Leakey sawa, Kumwembe sawa, Meena sawa lakini Sura nyingi hazivutii kiuchambuzi
Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
Hello mambers kama una mfumo , website au App unayo hitaji kuifanyia intergration ya malipo ya moja ya API mojawapo nio itaja hapo juu basi karibu sana
PUSH USSD and automatic payme kwenye site kama e commerce na services
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.