Search results

  1. Azizi Mussa

    Vacancies announcement: Clinical officer and Clinical Assistant

    'Peking Healthcare’ A newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers a quality health service is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensaries located in Ilala -Dar es salaam. Currently there are two (02) vacancies to be filled. If you fill like...
  2. Azizi Mussa

    Kampuni, Zahanati na Vifaa vyake vinauzwa Dar. Sh. Milioni 122

    Wakuu, kama kuna mtu ambaye yuko interested kuwekeza kwenye sekta ya Afya Dar es salaam, na ana uzoefu kwenye eneo hilo; Kampuni, zahanati na vifaa complete vinauzwa jumla M. 122. Mahali; Dar Thamani ya vifaa; zaidi ya 80 M Hali ya Biashara: inafanya kazi vizuri na inahudumia wastani wa watu...
  3. Azizi Mussa

    Nafasi ya Kazi: Assistant Nursing Officer

    Peking Healthcare limited; a newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensaries located in Ilala -Dar es salaam. Currently there are two (02) vacancies to be filled...
  4. Azizi Mussa

    Majibu kuhusu bei ya vyakula kupanda

    Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM. Kusema kweli hii ni "logical fallacy". Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na...
  5. Azizi Mussa

    Ushauri kuhusu ndoa kwa wanaowaza kuoa mke mmoja au kuoa mke zaidi ya mmoja. Uzoefu ni mwalimu mzuri

    Declaration of interest: ======== mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana. ======÷== Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia. 1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
  6. Azizi Mussa

    2 Vacancies for health professionals: Assistant Lab Technician and Registered Nurse

    Peking Healthcare limited,a newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensary located in Ilala -Dar es salaam. Currently there are two (02) vacancies to be filled. If...
  7. Azizi Mussa

    Kuepuka laana, tuweke tozo angalau ya Tsh. 20 kwa kila chupa ya maji ya kunywa kuwanusuru wenzetu wenye mahitaji maalum

    unajua misaada ambayo nchi zilizoendelea hutoa kwa nchi maskini ni sehemu ya kodi ya raia wa nchi husika ambazo wanatozwa na serikali zao ili kusaidia maskini kwenye nchi nyingine? Kwenye jamii yetu kuna watu wenye mahitaji maalum ikiwemo walemavu, Watoto mayatima, waliotelekezwa n.k ambapo...
  8. Azizi Mussa

    Sasa tunaweza kukubaliana kuwa; aina ya siasa anayoifanya Rais Samia ni ya kiwango cha juu sana ambapo ni nadra sana kuiona Afrika

    Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
  9. Azizi Mussa

    Hatimae sasa hoja zote za upinzani zinajibika ‘With high confidence and logic’ ikiwemo suala la Katiba

    Ujue tatizo la hoja ni kwamba haifi hadi amma ijibiwe, au ikubalike na kufanyiwa kazi. Huo ndio uzuri au ubaya wa hoja.Hoja haifi kwa kumpiga ngumi mtoa hoja. Nyuma hapo, kuna kipindi ambapo yalikuwa yanajitokeza mambo ambayo kwa mtu mwenye busara na akili ya wastani tu, kusimama hadharani...
  10. Azizi Mussa

    Ukishatengenezewa mfereji, hakuna atakaye kulazimisha kuchota maji. Awamu hii 'No one will left behind' labda utake mwenyewe

    Kazi ya kiongozi ni kukutengeneze mfereji (mazingira wezeshi).Kuamua kuchota maji na mikono, kijiko, ndoo au kuyatizama tu yaende ni hiari yako na hakuna atakayekulazimisha uchote, kwa kuwa hilo linakuwa ni tatizo lako binafsi. Mhe. Rais ameweka wazi kuwa mfumo wa elimu unapaswa kurekebishwa...
  11. Azizi Mussa

    Hii ndio kazi 'Critical' wanayoweza kufanya UVCCM kwa sasa kulisaidia taifa sasa na baadae

    Kwa sasa, kazi ya msingi inayofanywa na UVCCM ni kupongeza kazi nzuri zinazofanywa na serikali chini ya Mhe. Rais Mama samia. Jambo wanalofanya ni zuri kwa kuwa ni kweli kuna kazi nzuri na kubwa zinazofanyika. Aidha, ni muhimu kwa kuwa mtu anapofanya jambo jema na akapongezwa, hiyo ni...
  12. Azizi Mussa

    Wahuni wana ujasiri wa ajabu na wanachukua hatua wakati watu wema wana woga wa ajabu na hawachukui hatua

    Moja ya tatizo kubwa linalotuchelewesha watanzania kupiga hatua ni kwamba; Watu waovu si tu kwamba wana ujasiri wa ajabu lakini pia wanachukua hatua wakati watu wema/wenye fikra nzuri n.k wana woga wa ajabu na kwa kawaida hawachukui hatua. Huwa wanaamini mambo yatakaa sawa yenyewe, au kuna watu...
  13. Azizi Mussa

    Rais Samia anajenga utawala bora ambapo una gharama zake, tukimlaumu kwa hili itakuwa si sawa

    Ukiwa umebeba shoka, halafu ukikutana na mtu yoyote tu ukaona anazingua unampiga la kichwa (kwa kuwa unanguvu ya kulinyanyua na kushusha) huo si uongozi bora. Uongozi bora si kutumia silaha au nguvu kwa kuwa unayo bali kuitumia pale inapostahili kwa namna inavyostahili na kwa kadiri. Udikteta...
  14. Azizi Mussa

    Vision ya mama ni simple and very clear (4Rs)

    Kuna watu wanauliza hivi maono ya mama ni yapi? nani anayejua Rais Samia anakotupeleka? hivi nyie mnamuelewa huyu mama? mbona kama hana vision? n.k haya ni maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na baadi ya wananzengo. Jamani eeh; vision ya mama ni very simple and clear. Ni '4Rs' yaani...
  15. Azizi Mussa

    Rais Samia ni kiongozi Muadilifu, Wanaomchukia ni amma watu 'madhalimu' au wenye 'Husuda'

    Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake. Aidha, kwa kadiri wengi wetu...
  16. Azizi Mussa

    Suluhisho la muda mrefu, upandaji wa bei za mafuta ni gari za umeme kutoka China

    KEYU mini electric truck 4x4 High Performance Long Delivery Electric Cargo Pickup Truck & SUV Fast Charge Time(h):3-5h, up to 300 KM , Price $2,295.00 Bei za mafuta zinapanda, mfumuko wa bei unatokea, serikali inashinikizwa kupunguza kodi kwenye mafuta na ikiwezekana kuweka ruzuku ili mafuta...
  17. Azizi Mussa

    Njiapanda kuelekea siasa safi na uongozi bora: Kutoka kutumia 'msuli' hadi siasa za 'ushawishi'.

    Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu za tembo na ushawishi sungura huwezi kuwa na mafanikio ya maana sana. Angalau moja ya mambo ya...
  18. Azizi Mussa

    Tufanye nini ili kupunguza athari ya upandaji wa bei za mafuta? tulaumiane?

    Kuna baadhi ya vitu vinavyotokea ambavyo viko nje ya uwezo wa mtu mmoja au kundi fulani la watu. Kwa mfano, suala la upandaji wa bei ya mafuta katika kipindi hiki cha vita ya Urusi na Ukraine liko nje ya uwezo wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Kuna watu wanamlaumu Rais, Wengine serikali...
  19. Azizi Mussa

    Tusiwe tunawalaumu au kuwasifu viongozi kwa kila kitu, vinginevyo tunawachanganya hivyo kufanya lolote

    Ni muhimu kujitahidi kupunguza lawama, kulalamika na kunung'unikia kila kitu kwani hiyo huwachanganya viongozi na mwisho kuamua kufanya chochote ili iwe vyovyote vile. Yaani akisimama malalamiko, akikakaaa analaumiwa, akichuchumaa manung'uniko, akitembea lawama! Dah! Shida hii husababisa hata...
  20. Azizi Mussa

    Tumsaidieni Rais Samia kufikia malengo ya pamoja; Kumvunja moyo na kumchanganya kwa unafiki na roho mbaya sio sawa

    Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo. Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na taifa lenye uadilifu na mafanikio ya maana ikiwa tutafikiri kuwa yeye pekee ndio mwenye jukumu la...
Back
Top Bottom