utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mnaosema dini ni biashara mnakosea. Biashara ina manufaa kwa pande 2. Kama utanufaika upande 1 tu huo ni utapeli sio Biashara

    Biashara maana yake muuzaji anafurahi kuuza bidhaa yake huku akiweka kibindoni faida yake, while mteja akifurahia bidhaa ya thamani halisi. Kama mbele ya safari mteja akigundua kuwa ameuziwa bidhaa bandia au isiyo thamani halisi ya pesa yake hali hiyo tutaiita utapeli. Na huo utapeli ndio...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi na Utapeli wa Sisi wanaume ndani ya Familia

    UBINAFSI NA UTAPELI WA SISI WANAUME NDANI YA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niliwahi kuandika hapa, unaweza kupitia👇Wanaume tuache Ubinafsi ukitaka familia yako ianguke basi moja Kati yenu awe mbinafsi. Aidha Mke au Mume. Chanzo kikubwa cha umaskini wa familia nyingi hapa Tanzania...
  3. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

    Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya. Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi...
  4. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Huu ni utapeli au sio utapeli? Je, ushawahi kukumbana na hii hali?

    Thread was deleted
  5. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni kutoka Mtanzania anayeishi Dubai

    Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni. Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli. Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Utapeli gani ulifanyiwa hautosahau?

    Kuna rafiki yangu alinisumulia kwamba, mwaka 2008 akiwa bado mwanafunzi, alikutana na watu wawili waliomsimamisha njiani, wakamuongelesha awaelekeze njia ya sehemu ipo mbali kidogo na walipokutana. Basi akaacha mambo yake muhimu, akawapeleka hiyo sehemu mwendo wa kama dakika 20 hivi, anasema...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tupeane Sites zisizo za utapeli zinazoweza kukulipa kwa kufanya kazi bila ujuzi za online mimi naanza na hii

    SproutGigs SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi zilizochapishwa na waajiri. Inalipa kuanzia Tsh 100 hadi 2000 kwa kazi ndogo ndogo moja Hakuna...
  8. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

    Habari Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
  9. nyaunyau

    JamiiForums Tanzania Utapeli TALA mikopo

    Kuna UTAPELI mkubwa kuna watu wanajiita TALA MIKOPO,wanadanganya watu kwamba wanatoa mikopo kwa Riba ndogo,unaambiwa weka Akiba Kiasi fulani,mfano ukitaka kukopa Laki mbili unaambiwa weka 32,000,ukiweka pesa hiyo kwa mujibu wa Maekezo yao hiyo 32000 ndo inakuwa imeliwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usaliti wa kisiasa: Ukraine wameuona zaidi kuliko pengine

    Kwenye kampeni ya kuomba kuchaguliwa kuwa rais Zelensky alisema hivi: “Our first priority is a ceasefire [in Kiev’s war with the Donbass]…I would not hesitate to lose my position for the sake of peace.” Yaani "Kipaumbele chetu cha kwanza ni kusitisha vita (kati ya majeshi ya serikali na...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wanaume; Ujana ni utapeli

    ILIANDIKWA NA LUQMAN MALOTO AKIWA Kijana, alifanya tukio. Hakujuta. Na akasahau. Akaishi miaka 44 mingine. Ndipo akatokea mtu akamkumbusha kile alichokifanya. Akaumia. Akatamani asahihishe makosa yake. Hakupata fursa hiyo. Miaka mitatu baadaye akafariki dunia akiwa mwenye huzuni kubwa...
  12. Misss Chuga

    JamiiForums Tanzania Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

    Naenda kwenye mada moja kwa moja! Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu. Moja hamna mkataba wa maandishi kati yako na wao. Hii itakufanya wewe kushindwa kupeleka malalamiko yako mbele ya sheria pale...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania sio watu wa kudanganyika tena. Kifo cha Membe ni uthibitisho kuwa sasa hakuna utapeli

    Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari na wasafisha viatu wakawa mabilionea kwa wizi wa mali za umma. Nani amesahau Salva Rweyemamu...
  14. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

    Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi. 1. Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3). Yaani mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo...
  15. olimpio

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa na Morogoro kinara kwa utapeli kwa njia ya simu

    Katika mambo yanayofikirisha sana , kwa mara zaidi ya tatu mfululizo mikoa ya Rukwa na Morogoro imeongoza kwa utapeli kwa njia ya simu. Swali la kuijiuliza ni: 1. Mikoa hii inakaliwa na wajanja wengi sana yaani matapeli? 2. wakazi wengi wa mikoa hii ni washamba sana kiasi cha kutapeliwa...
  16. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

    Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata... Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida moja hivo ikaleta maongezi kidogo kuhusu shida iliyotuleta pale ikapelekea tukaanza kufahamiana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi till za mpesa zinapatikana kwa sasa au ni utapeli tu?

    Habari wakuu ,nahitaji till za mpesa hivi nikwel zinatoka kwa sasa? 0754350882
  18. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na huu Utapeli wa kumdhamini tapeli kwa boda boda

    Aisee tujihadhari na huu wizi, Leo Nikiwa ofisini namba +255694480796 Ikanipigia Ile napokea tu jamaa akajitambulisha ni mwalimu magunga shule ya msingi ameomba namba yangu hapo kwa mtu, Ananiomba nimpe namba ya kijana wa piki piki ninayemuani chap ana haraka sana! Basi Mimi Bila kuwaza...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

    Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%. Sote tunajua...
  20. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Mussa Mangu ashinda rufaa ya kupinga kunyongwa kwa mauaji ya Erasto Msuya

    Habari wana jukwaa natumaini mpo salama! Mfungwa Mussa Mangu aliyekua anatumikia adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika katika mauaji ya Bilionea Erasto Msuya ameachiwa huru jana baada ya kukata rufaa yeye na wenzake wanne. Mahakama ya rufaa imeamua Mussa Mangu kuachiliwa huru mara moja...
Back
Top Bottom