Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
Great Thinkers,
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa za kuwapo kwa kikundi kinachojiita SIIB kinachodai kuhusika na mradi wa Pi Network hapa Tanzania. Napenda kuwatahadharisha Watanzania wote—hasa wastaafu—kuwa makini sana, kwani kikundi hiki hakijasajiliwa kisheria hapa Tanzania...
Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.
Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?
Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
Vodacom m wekeza vipi mbona hatuwaelewi tangia asubuhi hatupati access ya kuingia au ndio utapeli?
Hili swala nashindwa kulielewa m wekeza tangia asubuhi wateja hatuwezi kuingia au ndio utapeli
Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na...
Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda.
Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini pamoja na hayo, kuna watu wanaotumia mtandao kwa ajili ya udanganyifu. Moja ya njia wanazotumia sana ni...
Huyu bwana alianza kwa mbwembwe kubwa akiwa analazimisha watumishi wote wa serikali kuu nchi nzima wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya kila wiki mwishowe ikaishia kwa yeye kutakiwa na bodi ya wakurugenzi arudi kazini kwake Tesla na kufanya majukumu yake aliyotekeleza.
Naada ya...
Katika pita pita zangu nimekutana na mdada mmoja yupo London kaniambia kanielewa na ana zawadi anataka anitumie hivo muhuni kutokana na matukio nimekutana nayo nikaona nimtajie jina lisilo langu ila nalitumia namba nikampa iliyo active.
Sasa kaniambia mzigo umekamilika na risiti kanitumia ila...
Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam.
Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi kuweka mchango au malalamiko...
Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa
1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50
2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye...
Naomba niwasanue..
Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake hela nyingi. Unakuta mkeka mmoja anaweka 700k na kutoa code na promo code anaisambaza kwenye magroup...
Habari gani Wakuu
Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa nimemzoea nikamwelezea vile najisikia juu yake, dada akatolea Nje. Nikakubali tukawa tunawasiliana...
Simba na TFF walitumiwa barua ya kuwapa taarifa kuwa mchezo wao wa fainali dhidi ya RS Berkane kuwa utachezwa Zanzibar Toka tarehe 14 May, 2025
Viongozi wa Simba wakijua hii taarifa waliwapa taarifa kuwa wawndelee kununua tiketi za uwanja wa Benjamin Mkapa
Viongozi wa Simba, TFF na Serikali...
Habari zenu wanaJF. Nilikuwa nauliza kuhusu Aliexpress mwenye ujuzi nao tafadhali atuthibitishie. Jana nilipata kutextiwa whatsapp kwa namba ngeni akijitamvulisha kuwa ni mfanyakazi wa Ali Expresss Tanzania, basi nikamsililiza akanambia alinipa task kuwa atanipatia link then bidhaa...
Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama inakuwa na utaratibu ambao sio wa kawaida kwani kuna sehemu inasema share to your contacts...
Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa
Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu wanajua kukula kwa namna yao.
Pure evil bastards.
Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi
Katika historia ya Ukristo, jambo lililozua mabishano makubwa na kuchochea mageuzi ya kidini ni biashara ya indulgence — kuuziwa msamaha wa dhambi. Kitendo hiki kilibadilisha mwenendo wa Kanisa la Magharibi na...
HABAARINI WAPENDWA
WA ABOOD BUS SEEVICE
KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU
LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO
MZIGO UMETOKEA MOROGORO
UNAKUJA DAR
AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA
KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.