udhalilishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Wanaojiita Wanaharakati na Wafadhili wao wanahamasisha Vijana kuacha Kazi na Kujihusisha na Matusi na Udhalilishaji

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa Wilaya ya Ngara anatudhalilisha Watumishi. Achukuliwe hatua!

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, nina kero juu ya Mkuu wa Wilaya ya Ngara, anaitwa Mathias Kahabi. Mkuu huyo wa Wilaya ana tabia ya kudhalilisha na kutukana watumishi ikiwa ni pamoja na kuagiza watumishi wawekwe lock up bila kosa lolote. Watumishi tunanyanyasika sana na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makundi ya WhatsApp Siha: Udhalilishaji Watawala

    KERO: MATUMIZI MABAYA YA MAKUNDI YA WHATSAPP WILAYANI SIHA Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Siha. Nina kero kuhusu uwepo wa makundi ya WhatsApp yanayotambulika kwa majina ya Siha Development, Siha Unity na Sauti ya Siha. Makundi haya ambayo awali yalikuwa yakitumika kujadili maendeleo ya wananchi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vibarua wa Kampuni ya madini iliyopo Ulanga tunakaguliwa kwa staili ya udhalilishaji

    Vibarua katika Kampuni ya uchimbaji madini ya Ruby International iliyopo Mkoani Morogoro, Wilayani Ulanga wanalalamika kuwa jinsi wanavyosachiwa baada ya kazi ni udhalilishaji. Maana wanashikwashiwa makalio na muda mwingine wanavuliwa nguo. Kampuni hiyo inamilikiwa na Salim Alaudin Hasham...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huyu anayejiita "Russia wa Bongo" anafanya udhalilishaji kupitia mtandaoni. Mamlaka mchukulie hatua

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la baadhi ya vijana wanaojiita watengeneza maudhui ya mtandaoni, lakini njia wanazotumia si sahihi na zinakiuka maadili ya kijamii. Mmoja wa mifano ni kijana anayezunguka mitaani akiwa amevaa miwani yenye kamera ya siri, kisha huwasimamisha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanakuwa wabishi wakati evidence ipo kwenye kitabu chao na hadithi zao kuhimiza fujo, udhalilishaji na ubaguzi

    Wafanye hawa mateka. Waue hawa. Wabague hawa. Wapige wake zenu Wafanye hawa watumwa
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Huu ni ulinzi au udhalilishaji unaofanywa na marais wa Afrika?

    Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na ulumbukeni mbali na ubinafsi na woga usio na sababu au ni kwa vile wanasifika kwa kutowatendea haki...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hassan Abbas azuie udhalilishaji wa Waadizabe

    Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi. Juzi kuna watu waliwatembelea na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutafsiri kitendo cha kupiga picha mwili wa marehemu kama udhalilishaji?

    Kuna tabia mpya imezuka nchini ya kuwalalamikia vitendo vya watu wanaopiga na ku-post picha za wapendwa wao wakiwa tayari wamefariki.....aidha wakiwa kwenye jeneza, kwenye matukio ya ajari au wakiwa mawodini... Je kuna ubaya gani mtu kuhifadhi kumbukumbu ya picha ya mpendwa wake akiwa katika...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Utafiti wa Tuskegee juu ya ugonjwa wa Kaswende ulivyokua wa kikatili kuangamiza Wanaume Weusi Marekani

    Katika historia ya matukio ya kustaajabisha yaliyofanywa na taasisi za serikali kwa jina la “sayansi”, hakuna tukio lililojaa huzuni, udhalilishaji, na ukiukwaji wa maadili ya kibinadamu kama Utafiti wa Tuskegee kuhusu ugonjwa wa Kaswende (The Tuskegee Syphilis Study) uliofanyika kuanzia mwaka...
  12. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Sura Tatu za Dini ya Kisasa: Biashara, Udhalilishaji na Siasa

    Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha maadili, mshikamano, na uhusiano kati ya binadamu na Muumba wake. Badala yake, inatajwa kuwa njia ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Edda Sanga: Udhalilishaji katika Mitandao kwa Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai ngazi ya Uongozi

    Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

    Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati. Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Rais kama busara imekuelekeza kupuuza matusi na udhalilishaji wa wakenya imeshindikanaje kuonesha ukomavu kwa Gwajima

    Heading hapo juu inajipambanua vizuri. Kila mtu amejionea na kukusifu kwa namna ulivyoonesha uvumilivu, utulivu, ukomavu na busara dhidi ya matusi, udharirishaji na mashambulizi yanayoendelea toka baadhi ya majirani zetu kama nchi. Hata sisi unaotuongoza tumeyasikia na tumeyaona. Nikiri wazi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Star Tv, Aloyce Nyanda aamriwa kumlipa fidia DED Tsh bilioni 2 kwa udhalilishaji wa mtandaoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya udhalilishaji wa kimtandao. Hukumu hiyo iliyosomwa leo Aprili 11, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa Kijinsia Arabuni wavuka Mipaka - Achezea vibao Hadharani

    Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake. Wabillah Taufiq
  18. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewaita AZAM FC inzi wa chooni hakuna udhalilishaji wowote aliofanya.

    ila aliyesema kuna kikao baina ya makolo na waamuzi amefanya udhalilishaji mkubwa usioonyeka wala kuvumilika wala kuchukuliwa kama utani! By the way,nimefurahi kuona Ahmed ally yuko huru maana mpira ni mchezo,na michezo ni ushindani tu wa kuitafuta Furaha na sio UADUI! ukweli ni kwamba kijana...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

    Wakuu, Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii. Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa. Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Naibu DCI: Makosa ya udhalilishaji wa kijinsia yamepungua Zanzibar

    Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo vya Polisi Zanzibar katika kipindi cha Januari hadi Disemba, 2024 ikilinganishwa na makosa 1,280 ya...
Back
Top Bottom