Madalali wa nyumba jijini Dar es salaam wamekuwa matapeli kwa miaka, sasa wamewafundisha wenzao wa mikoani kama Kilimanjaro, Arusha , Mwanza, Mbeya na Dodoma. Madalali ndio wamekuwa wakipandisha bei ya upangaji,
DALALI: Mzee hii nyumba yako ipo lokesheni nzuri ila sasa, ikate geti tatu, alfu...