mjini shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    Vijana wawili waliwala wanawake zaidi ya mia tatu bure tena wao ndio walilipwa, ama kweli mjini shule

    Bhana wee miaka hiyo dar es salaam, temeke sudan kam sikosei ilibamba stori kali iliyo washangaza watu wengi. Ili husu vijana wawili waliojifanya waganga wa kienyeji wanao safisha nyota za warembo, ilikua hivi ukifika pale kwenye chumba chao, unapewa masharti ya kufanya mapenzi na majini...
  2. Eli Cohen

    Nimesikia list ya makampuni na line of businessses ambayo tony kapola amesema ana miliki then nikajisemea kimoyo moyo: "kweli mjini shule"

    Mjini kila mtu ni mteja, kila shida ya mtu ni fursa kwa mwingine, kila pesa yako lazima itumike na hayo maisha yako ndio mtaji kwa wegine.
  3. Msaga_sumu

    Naomba kazi au connection na kazi

    Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila imetokea changamoto kwa sasa kwenye kazi yangu ya kusupply gas za kupikia, kama kuna mtu...
  4. Tutu kalundji

    Mtu kashapigwa tukio tayari

    Mwenzetu huyu kapigwa tukio
Back
Top Bottom