Sina haja ya salamu.
Kuna mwamba ameniambia katapeliwa 200,000Tsh na CHIEF GODLOVE. Swali kwenu, je huenda haka kajamaa ni katapeli?
Mwamba hakuishia hapo, aliendelea kwamba hakuna cha jicho la tatu ambayo CHIEF GODLOVE amekuwa akitumia kwa ajili ya kuteka akili za watu wenye akili ndogo...
Soma hili tangazo
We are moving back to our country and we've decided to sell our household items and appliances.
Text me via WhatsApp for more info: +44 7360686752
Pick up or can help deliver at an extra fee.
Thank you.
Wanajifanya ni foreigners wanaondoka nchini hivyo wanauza vitu vyao vya...
Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao wanawafaulishia Tabora na kupitia njia ya Chunya ambayo ni Barbara ya vumbi.
Nauli ya kutoka Mwanza hadi...
Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu .
Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo cha mapato/biashara naendelea kumiliki mimi. Huu mfumo wa boda za mkataba inamaana namuwekezea dereva...
Matapeli wa kidini, wanajimu na waganga wanajua kucheza na matukio.
Mbasi
Kwa muda fulani alikuwepo Mbasi aliyedai kuwa sawa na Kyala (kwa ukuu). Alijifunua kupitia kwa kaimu wake hasa sehemu za Lufilyo chini ya milima ya Ukinga.
Hata kabla ya Wamisionari wa Berlin kufika kule, yule kaimu...
Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform...
Wana jamii juzi jumapili tarehe 28-09-2025, kuna dogo aliniambia kapata kazi ya kuwa tingo(tanboy) wa magari makubwa ya masafa marefu. Hivyo basi kuna mahali amekwama kiasi kidogo cha pesa nimsaidie ili akanunue ovaroli la rangi ya karoti lenye mistari ya reflector na kiasi alichopelea ni...
Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription.
Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...
Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika.
Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake?
Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile?
Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!
Kwanza hawana stend!
Hawana soko!
Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!
Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango
Britanicca
Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya.
Cc Boss la DP World
Mnatupeleka wapi
Muache kututumia msg za ajabu enyi yas
Kwanza mnaatuma msg weka hela kuanzia bk 2000 tar flan tunaweka bk 5
Hakuna cha zawadi wala mawadiiii
Sasa mnantumia niimepata gb 8 hizo gb za wifi ama??mbona sizioni??????
EnyiYAS ACHANENI NA HAYA MA MSG TUMECHOKA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alisema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti Agosti 18, katika...
Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
Naomba tu kusikia kwenu wadau!
Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery"
Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda!
Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza!
Mfano wa bei...
Salamu wakuu!
Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok
Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki,
Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
Wakuu mi huwa sielewi kitu hizi hospital zetu. Mgonjwa anapokufa wanadai ulipe bili ndio wakupe mwili.
Kwa nini niwalipe wakati wamefeli kutoa huduma na mteja amekufa.
Mfano ukienda gereji na gari lako, fundi akalitengeneza lakini likashindikana kuwaka unachukua gari lako free.
Njia sahihi...
Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli .
Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli.
Kuweni nae makini au apewe life ban
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.