ukeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jastin ndangala

    Msaada: Mke wangu ana vidonda ukeni

    Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona nimekuta mashavu yote ya uke yamejaa vidonda hadi kutembea hawezi . NAHISI AMECHEPUKA AKAAMBUKIZWA...
  2. benzemah

    Msiingize vidole ukeni, mtapata saratani – Mratibu Afya Zuhura Mbuguni

    KUNAWA kwa kuingiza vidole sehemu za uke, kujifukiza na matumizi ya bidhaa mbali mbali ikiwemo asali kuwekwa ukeni, wapenzi wengi, kujamiiana katika umri mdogo, maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kumetajwa kusababisha ongezeko kubwa la saratani ya kizazi. Tafiti zinaonesha kuwa wale...
  3. isaya febu

    Zijue Dalili Za Fangasi Sugu Ukeni

    Fangasi sugu ukeni ni hali ambapo maambukizi ya fangasi katika uke hayatatuliwi au yanarudi mara kwa mara, licha ya matibabu. Dalili za fangasi sugu ukeni zinaweza kuwa sawa na za maambukizi ya kawaida ya fangasi ukeni, lakini zinaweza kuwa na ukali mkubwa au kuendelea kwa muda mrefu. Dalili...
  4. mdukuzi

    Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya. Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
  5. GENTAMYCINE

    Sitaki Kukosa Kipindi cha Raha za Uswahilini cha EFM Radio nimsikie Dada mwenye Sindano Ukeni iliyokuwa Ikimchoma kila Mwanaume Aliyemuingilia

    Kikubwa GENTAMYCINE nataka nimjue tu kwa Jina na ikiwezekana hata kwa Sura ili nisikosee njia Siku moja na Kumtongoza kisha akinipa Uume wako Uchomwe na Sindano iliyojicha Ukeni mwake bila ya Yeye kujua na Wanaojua ni Wanaume tu waliokuwa Wakimbandua. Asanteni EFM Radio na Kipindi chenu cha...
  6. Expensive life

    Nini kinasababisha mwanamke kuwa na maji mengi ukeni?

    Habari zenu wadau? Nini kinasababisha baadhi ya wanawake kuwa na maji ukeni yaani wakati wa mgegedo, unasikia pacha pacha ukiwa unapeleka moto unakuwa kama unatwanga kisamvu. Siko hapa kuwakejeli wanawake, ila naomba nijuzwe kama kuna dawa niusaidie huu mchepuko wangu maana kuna muda anakuwa...
  7. Chawa wa lumumbashi

    Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

    Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle. Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu...
  8. Kadoda nguku

    Members naomba kuja, utando mweupe ukeni ni ugonjwa au

    Nimekutana na pisi kali kama mbili hivi, wakati wa sex kuna utando mweupe unatoka ukeni ,kila nikisex unatoka, Naomba kujua
  9. Marumeso

    Tatizo la Harufu Mbaya Ukeni

    Wakuu hii kitu imekuwa serious sana kwa sasa. Chanzo ni hivi vyakula au ni nini hasa? Inakera sana mpo faraghani lakini kutokana na hiyo harufu mnalazimika kuacha madirisha yote wazi, kuwasha feni ili ndani pawe na hewa safi
  10. S

    Mke wangu amepata tatizo la kutoa harufu ukeni

    Nimekaa naye kwa takribani miaka 12 sasa, ni msafi sana na sijawahi hisi harufu hiyo. Nikawa hadi napiga deki kuenjoy papuch sijawahi fanya hivi kwa mwanamke yeyote. Nilipohamia mkoani kikazi nimeanza hisi hii harufu baada ya muda kidogo tangu nihamie mkoani kikazi, bado ni msafi kwa...
  11. P

    Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
  12. John Haramba

    Madhara ya kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ukeni, hatarini kupata saratani ya shingo ya kizazi

    Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya shingo ya kizazi ambayo ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi nchini. Amezungumza hayo Mtaalamu na Mshauri...
  13. n00b

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  14. T

    Abnormal menstrual bleeding: Je nini chanzo na ni kwa namna gani tunaweza kutibu tatizo la kutokwa damu ukeni (kipindi cha hedhi) bila kukata?

    Habari za wakati huu wana JF! Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi? Mwenye kufahamu...
  15. Frumence M Kyauke

    Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  16. MENISON

    Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

    Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani, Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi. Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua. Hivi huu ni ugonjwa au?
Back
Top Bottom