mweupe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Clark boots

    Ni dawa gani ya kupaka(Tube)inayosaidia kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo hutengeneza utando mweupe.

    Habarini jamani.. Naomba kufahamishwa tube nzuri (dawa ya kupaka) usoni ambayo inaweza kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo yanapelekea kutengeneza utando(ugaliugali) mweupe kwa ndani. Kama umewahi kukutanana hizi chunusi/mashimo mwenzangu ulipona kwa dawa gani..?
  2. Jeep wrangler

    Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

    Habari za Jumapili wakuu; Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu. Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti. mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba...
  3. Rayvanny wa jamiiForums

    Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
  4. Burkinabe

    Ni vigumu sana kumng'oa Mkoloni Mweusi kuliko ilivyokuwa kwa Mkoloni Mweupe

    Asalaam aleykum, Ama baada ya salamu hizo, rejea kichwa cha habari, chahusika. Uhuru ni kitu muhimu ambacho kila mmoja anakitamani. Lakini kwa bahati mbaya sana katika historia ya binadamu, imekuwa ni hulka ya baadhi ya watu furaha yao kukamilishwa kwa kuwanyonya/kuwakandamiza wenzao. Hili...
  5. Mto Songwe

    Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

    Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe. Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania. NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe...
  6. Juma Wage

    "White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

    Siku chache kabla ya shambulio la Westgate, Elvis Weulo, mkazi wa Buruburu jijini Nairobi alipokea simu kutoka kwa Abdukadir Haret Mohammed, akimtaka amuuzie gari yake. Septemba 06, 2013 Elvis Weulo alikutana na Abdikadir Mohammed "Mohammed Hussein" akiwa na mshirika wake Hussein Abdi Ali...
  7. cold water

    Haya wale mabachela na wale wasiojua kupika wali mweupe

    Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo kwenye maji mambo ya kusema mnapika wali bila kuloweka mchele, ndo mana unatoka unatafunika, na...
  8. Nyuki1994

    Mahitaji ya mtama mweupe

    Habari za wiki end wadau. Kama mada tajwa hapo juu maelezo yanaeleweka naomba mwenye connection ya kupata bidhaa hiyo kwa wingi anijulishe.
  9. Christopher Wallace

    Uzi mweupe wa Simba Sports ni wa moto, wana simba kaeni mkao wa kula

    Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee. Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali. Ikitokea hujauelewa niulize mimi
  10. Kiboko ya Jiwe

    Najuta kuwa Mwafrika

    Kibaya zaidi Mwafrika hataki kabisa kukiri kuwa akili zake ni finyu au hana akili kabisa. Kila mtu hapa Afrika ni daktari, ukiumwa kidogo utasikia kunywa maji mengi. Kula matunda. Ukimuuliza hayo maji yanafanya vipi moa mtu apone hana jibu. Karne hii bado kuna watu wanawafundisha Waafrika wenzao...
  11. FRANCIS DA DON

    Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

    Mnaoelewa kinachoendelea tunaomba majibu, mtu anaingiaje hospitali mzee na mweusi, halafu anatoka mweupe kijana? Picha chini inajieleza
  12. J

    Fahamu kuhusu utando mweupe kwenye mwili mtoto anapozaliwa

    Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa. Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10. Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...
  13. Kadoda nguku

    Members naomba kuja, utando mweupe ukeni ni ugonjwa au

    Nimekutana na pisi kali kama mbili hivi, wakati wa sex kuna utando mweupe unatoka ukeni ,kila nikisex unatoka, Naomba kujua
  14. Mpigamimba

    Upo kwenye daladala anaingia mrembo, unatarajia atakaa vizuri kwenye siti yenu nyie wawili tu, lakini akakupa mgongo

    Nilitafakari sana kichwa cha habari hii. Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari. Cha ajabu ikanikalia na miracle paaa! Upandeupande. Mishavu ikiwa juu ya mguu wangu paja, nikajisogeza ili asinikalie na baadhi...
  15. luangalila

    Taa zenye mwanga mweupe VS mwanga wa yellow

    Wadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....
  16. miamia100

    Mbegu za mchicha mweupe: Naombeni ushauri au kwa yoyote anayeweza kunipatia mteja au connection ya kuuza zao hili

    Habarini wakuu na poleni kwa majukumu ya kazi. Kijana wenu niliingia shambani na kuzalisha mbegu za mchicha mweupe superlishe ila changamoto imekuja kwenye soko la bidhaa hii toka soko kuu la Kariakoo lilipopata maswaibu ya kuungua. Naombeni ushauri au kwa yoyote anayeweza kunipatia mteja au...
  17. Sky Eclat

    Jinsi ya kupika Ugali mweupe wa mihogo

    Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea. Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji apikwe chukuchuku. Back to the topic. Mhogo uliochemshwa na kuiva kabisa ukiwa bado wa moto unwekwa...
  18. JanguKamaJangu

    Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

    Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro. Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urais wa Tanzania, amekula kiapo cha ndoa katika misa...
  19. Idugunde

    Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

    Picha: Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro. === Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa...
  20. kimsboy

    Watu wa zamani pichani walikuwa weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe?

    Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe. Hapa nazungumzia...
Back
Top Bottom