Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,

Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.

Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua. Hivi huu ni ugonjwa au?
 
Mh,maranyingine ni fungus infection,ambayo akitibu wewe unamuambukiza tena,inabidi wote mtibiwe na nguo zenu za ndani ziwe zinapigwa pasi kwa kipindi mnachopaka dawa,
Huo uchafu utakua ni ugonjwa tu endapo pia ukimuingilia anaumia na kama una harufu mbaya,pia kama kunashida hatapata raha ya tendo
 
Sio ugonjwa mkuu...yuko horny sana....ni kawaida sana kwa mwanamke na inaonesha ameridhika emotional....I stand to be corrected
Kweli wakusaidie tuu maana naona dalili za upotoshaji kiaina.

Ninavojua ni dalili za maambukizo ya njia ya uzazi. Kwahiyo uke unajitahidi kujikisafisha kwa kuzalisha whitish materials ili kupunguza madhara. In a long run asipopata matibabu anaweza akapata ugonjwa wa zinaa.

Ni kama mtu anapopigwa na vumbi nyingi unashangaa mucus(makamasi) yanaanza kutoka. Hii yote ni kujikinga ili kuzuia uchafu usiendelee kuingia kwa kuwa trapped na mucus.

Bios-f2. Hahah
 
asa

nte mkuu
 
Mimi sio mtaalam wa afya mkuu sina nia ya kupotosha na nilimaanisha Mucus na siyo uchafu mwingineo
 
Kweli wakusaidie tuu maana naona dalili za upotoshaji kiaina.

Ninavojua ni dalili za maambukizo ya njia ya uzazi. Kwahiyo uke unajitahidi kujikisafisha kwa kuzalisha whitish materials ili kupunguza madhara. In a long run asipopata matibabu anaweza akapata ugonjwa wa zinaa.

Ni kama mtu anapopigwa na vumbi nyingi unashangaa mucus(makamasi) yanaanza kutoka. Hii yote ni kujikinga ili kuzuia uchafu usiendelee kuingia kwa kuwa trapped na mucus.

Bios-f2. Hahah
 
Ni Fungal Infection hiyo.. Hutokea Kama Imbalance itatokea kati ya Bacteria Lactobacillus na Fungi aina ya Candida wanapozidi........ Tatizo hili Huwa Linatokea Na Kupotea Baadae.... Kwahiyo Huo weupe Ni Fungusi
 
Kwahiyo atulie tu litapotea sio. Hahah
 
Mbona wanaume wa siku hizi mmekosa haya hivyo?
Huyo ni mkeo lakini unakuja kuanika aibu zake hapa kweli jamani?
Yani umemuona na hali hiyo kwann usimpeleke hospitali unakuja kuomba ushauri humu ili iweje,
Kuna mambo ya kuomba ushauri lakini si haya,

Ulishakaa nae chini ukamwambia?
Alishawahi kulalamika unamuumiza?
Akifika kileleni hua anatokwa nini?

Zungumza na mwenzio kwanza achana na mambo ya vijiweni,
Eti UPENDO UNAPUNGUA,
Hovyooooo!!
 
Usipanic mkuu! Take it easy, humu ni fake ID.
 
Back
Top Bottom