harufu mbaya ukeni

  1. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wanalalamika? Hivi Ndio Vyanzo vya Harufu Mbaya Ukeni

    Hili ni tatizo linalowaathiri wanawake wengi, ila wachache wanakubali kulizungumza hadharani. Ukweli ni kwamba, hakuna mwanaume anayefurahia kufanya mapenzi na mwanamke ambaye uke wake unanuka. WANAWAKE WAWILI TOFAUTI Kuna wanawake wanaojua kabisa kuwa wanasumbuliwa na harufu mbaya, lakini...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya. Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
  3. n00b

    JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  4. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

    Hivi ulishawahi kukutana na mwanamke akivua tu chupi inatoka harufu kali lakini kikwapa ananukia manukato? Je, ulishawai kutana na mwanamke mpo faragha ile kumuweka doggy style inatoa harufu kama za dampo? Nilishawahi kutana na wawili wa aina hii, mmoja tulikutana tu nikiwa Arusha miaka kama...
  5. Tofauty

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutibu harufu mbaya inayotoka sehemu za siri za mwanamke (uke)

    Leo ten tumekuja na mafunzo kwa wanawake, kuna baadhi ya wanawake ambao wana harufu mbaya sana katika sehemu zao za siri, sasa nimeitengeneza video hii kwa ajili ya kuwaelimisha njia ya kujitibu wenyewe kwa gharama isiyozidi elfu kumi, Aidha nimetoa vitu ambavyo vinasababisha madhara hayo ya...
Back
Top Bottom