Jina la Christa Pike limeingia kwenye vichwa vya habari na kuwa gumzo kubwa nchini Marekani kufuatia kutokea kwa kisa cha nadra cha kufeli kwa utekelezaji wa adhabu ya kifo dhidi yake katika jimbo la Tennessee.
Mamlaka za magereza nchini humo zilitangaza kusitisha zoezi hilo baada ya sindano...
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC.
Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
Anonymous
Thread
afya
kazi
kufanya
kufanya kazi
mbaya
mganga
moshi
mtumishi
raia
sindano
sio
zahanati
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano
kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni
Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi?
Kama...
Habari wakuu kuna taarifa nimepata kutoka kituo cha afya Isimani ikisema kuna watoto watatu wamefariki Dunia baada ya kupata sindano ya chanjo,
Tunaomba kama kuna taarifa za kina Wizara ya Afya na mamlaka toka huko waje waitolee ufafanuzi maana kuna taharuki kubwa imezuka na hatua zaidi...
Queen Mbuba, Mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe, anadaiwa kumuua mume wake baada ya kumchoma sindano inayodaiwa kuwa na sumu na baadaye kumshambulia kwa kitu chenye ncha kali.
Taarifa iliyotolewa Mei 26, 2026 kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe...
Nakumbuka kulikuwa na kelele nyingi sana hata hapa nchini kwetu zikitia watu hofu ili wachomwe chanjo ya korona.
Nguvu nyingi sana ilitumika kupitia matangazo ya medias, serikali hadi wanaharakati uchwara.
Mfano hata media kubwa duniani kama CNN na The New York Times yalitumia propaganda sana...
📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake.
Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
Huwa najiuliza sipati majibu sasa leo naamua kulileta humu huenda mkanielewesha...
Tunasikia mara nyingi kuwa maiti zinachomwa sindano ili zisiharibike hasa zile zinazocheleweshwa kuzikwa au nyingine zinachomwa sindano ili kuzisambaratisha.
Sasa swali langu ni kwamba hiyo sindano inaenea...
Miaka ya nyuma, sindano baada ya matumizi zilikuwa hazitupwi. Zikitumika zinachemshwa kwenye maji ya moto kama inavyoonekana pichani na baadaye hutumika kuchoma tena watu wengine. Sindano inatoka kwenye sufuria huku maji yakiwa moto balaa.
Nakumbuka kuna kipindi bro alikwenda shule na wakapewa...
Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma
NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu
Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia
Yt
SINDANO ikaingia kwa Amani
Jana kwa mapenzi MEMA sindano Ile Ile iliooingizwa na rubani yule yule refarii...
Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake.
Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali ya kichwa yasiyoisha yalimwandama mfanyakazi huyu mbichi wa ujenzi, na kumfanya ashindwe kupumzika...
wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
Yaani sijajua ni sumu fulani kwenye ile sindani au ni aina yake kutokana na dawa ile au maana ukichomwa ile sindano lazima jeraha litaota usaha kidogo na muwasho alafu baadae linakuwa kovu kabisa hivi ni aina ya dawa au ni ile sindano inafanya hivyo au ni nini.Je!kuna ulazima wowote uwe na...
Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini).
Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha.
Muda fulan kanipigia Simu, Oyaaa kuna Manzi nmempima HIV Kwa kipimo Cha mdomo, Et kuna kamstari...
Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini.
1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa.
2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan.
Ushahidi wanao Azam...
Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje?
Pumzi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.