Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.

Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A

Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu basi leo ndiyo naenda kutambulishwa huko ukeni Kondoa Dodoma nipo na Mark x yangu mpya new model namba E.

Sema tumechelewa kufika maeneo kwa sababu kulikuwa na foleni pale Mbezi ya Kimara asubuhi hii daah nilikerekwa balaa wakuu.

Hopefully next year tumepanga kufunga ndoa takatifu nitachagua either kwao Kondoa au nyumbani kwenye ukoo wa Kimaro mkuu.

Wakuu nawaambia humu Jamii forus kuna wife material nyie vijana kaeni tu kuwananga mabinti wa humu ila kaeni mkijua humu kuna mawife material wakuu.

My love miss A nakupenda na nitakupenda daima. Mwenye wivu ajinyonge.

" love 😍 is beutiful thing"
Terminer monsieur el mademoiselle

Pia soma: Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba
 
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.

Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko kondoa dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A

Wakuu jana si niliwaambia jinsi jamii forum imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu basi leo ndiyo naenda kutambulishwa huko ukeni kondoa Dodoma nipo na Mark x yangu mpya new model namba E.

Sema tumechelewa kufika maeneo kwa sababu kulikuwa na foleni pale mbezi ya kimara asubuhi hii daah nilikerekwa balaa wakuu.

Hopefully next year tumepanga kufunga ndoa takatifu nitachagua either kwao kondoa au nyumbani kwenye ukoo wa kimaro mkuu.

Wakuu nawaambia humu jamii forum kuna wife material nyie vijana kaeni tu kuwananga mabinti wa humu ila kaeni mkijua humu kuna mawife material wakuu.

My love miss A nakupenda na nitakupenda daima. Mwenye wivu ajinyonge.

" love 😍 is beutiful thing"
Terminer monsieur el mademoiselle
Mkuu, ukeni? taratibu aisee,,,edit msg yako acha mambo ya bonjour hapa
 
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.

Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A

Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu basi leo ndiyo naenda kutambulishwa huko ukeni Kondoa Dodoma nipo na Mark x yangu mpya new model namba E.

Sema tumechelewa kufika maeneo kwa sababu kulikuwa na foleni pale Mbezi ya Kimara asubuhi hii daah nilikerekwa balaa wakuu.

Hopefully next year tumepanga kufunga ndoa takatifu nitachagua either kwao Kondoa au nyumbani kwenye ukoo wa Kimaro mkuu.

Wakuu nawaambia humu Jamii forus kuna wife material nyie vijana kaeni tu kuwananga mabinti wa humu ila kaeni mkijua humu kuna mawife material wakuu.

My love miss A nakupenda na nitakupenda daima. Mwenye wivu ajinyonge.

" love 😍 is beutiful thing"
Terminer monsieur el mademoiselle
Jamani hongera sana.kila la kheri ..Mungu aliyekupa wewe akanipe na mimi...
 
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.

Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A

Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu basi leo ndiyo naenda kutambulishwa huko ukeni Kondoa Dodoma nipo na Mark x yangu mpya new model namba E.

Sema tumechelewa kufika maeneo kwa sababu kulikuwa na foleni pale Mbezi ya Kimara asubuhi hii daah nilikerekwa balaa wakuu.

Hopefully next year tumepanga kufunga ndoa takatifu nitachagua either kwao Kondoa au nyumbani kwenye ukoo wa Kimaro mkuu.

Wakuu nawaambia humu Jamii forus kuna wife material nyie vijana kaeni tu kuwananga mabinti wa humu ila kaeni mkijua humu kuna mawife material wakuu.

My love miss A nakupenda na nitakupenda daima. Mwenye wivu ajinyonge.

" love is beutiful thing"
Terminer monsieur el mademoiselle

Pia soma: Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba
Miss A si anaishi buzza kama namjua vile
 
Mungu awabariki muishi kwa upendo wa agape
 
Attachments

  • img_2_1661473221933.jpg
    img_2_1661473221933.jpg
    9.8 KB · Views: 6
Kwa mapenzi haya haya ninayoyajua mimi, ama siku hizi yamebadilika?
 
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.

Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A

Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu basi leo ndiyo naenda kutambulishwa huko ukeni Kondoa Dodoma nipo na Mark x yangu mpya new model namba E.

Sema tumechelewa kufika maeneo kwa sababu kulikuwa na foleni pale Mbezi ya Kimara asubuhi hii daah nilikerekwa balaa wakuu.

Hopefully next year tumepanga kufunga ndoa takatifu nitachagua either kwao Kondoa au nyumbani kwenye ukoo wa Kimaro mkuu.

Wakuu nawaambia humu Jamii forus kuna wife material nyie vijana kaeni tu kuwananga mabinti wa humu ila kaeni mkijua humu kuna mawife material wakuu.

My love miss A nakupenda na nitakupenda daima. Mwenye wivu ajinyonge.

" love is beutiful thing"
Terminer monsieur el mademoiselle

Pia soma: Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba
Mkuu naomba uni Dm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom