Kuna mjadala mpya unaoibuka kwenye soka la Tanzania baada ya klabu ya Yanga kutumia kwa nguvu zaidi jina “Yanga Day” katika tamasha lake la mwaka 2026.
Kwa miaka kadhaa, tamasha hilo limekuwa likitambulika zaidi kama Siku ya Mwananchi au Wiki ya Mwananchi, majina yaliyokuwa sehemu ya...
Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami.
Karibuni kwa mjadala
Weekend tarehe 23 iliyopita nilitembelea sehemu moja karibu na mji wa kupang ila ni vijiji vya nchi ya Timor-Leste nikiwa na rafiki yangu kwao palikuwa na kama kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha babu yake nikamsindikiza kuna tukio moja liliniacha na maswali mengi sana kuhusu mambo ya...
Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu
Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani.
kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut
Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
Tume ya maridhiano iliyokuwa ya kutolea mfano ni ile ya Afrika ya kusini. Matatizo ya Afrika Kusini yalitokana na siasa za ubaguzi wa rangi. Baada ya siasa hizo kutoweka, Ndo ikaundwa Tume ya maridhiano. ilikuwa salama kwa sababu hakuna jinsi siasa hizo zinaweza kurudi nchini kwao.
Kenya...
Namaanisha sheria za Barabarani,
Leo walitaka kunilaza ndani.
Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata.
Barabara ya Dar - Moshi.
Hawa jamaa wako na gari mbili LC 300 wamenikuta Msata kuna kimgahawa pale...
KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend nchi za Afrika mashariki watu wake walibarikiwa na nyimbo zao. Sio tuu wasabato bali hata watu wa...
Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki sio Kwa magongo yake aisee.
Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao.
Nipende kuwaasa kuwa kila nchi na kila jamii ina mienendo na taratibu zake.
sio kila unachokiona huko mitandaoni ni...
Afrika mambo mengi tunapenda kuiga,tufanya mambo mengi kwa sababu nchi fulani iliyofanikiwa inafanya.
Akitokea mtu akapinga,wengine watakuja na hoja mbona nchi flani inafanya hivi ama ipo hivi,yaani uhuru wetu wa kufanya mambo yetu kivyetu vyetu haupo mpaka tuchungulie Canada,UK nk...
Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli atakurecommend vizuri huyu sehem nyingine tena ajue unaenda kupata maslah zaidi ya hapo?) lakini pia...
Hatua hii ya Kimakusudi imekuja ili kuyaondoa Makanisa ya Kipumbavu Kipumbavu ( ya Kitapeli tupu ) ambayo yamejaa sana katika nchi moja ( nimeisahau Jina kwa sasa ) yenye Raia Wabishi, Wasioshaurika, wenye uwezo mdogo wa Kufikiri na Wanaodhani kuna njia ya shortcut katika Kufanikiwa kupitia...
Ukioa demu mkenya, tofauti yako na alie oa mzungu ni moja tu. Wewe ulie oa demu wa kikenya umeoa mzungu feki na yule alie oa demu wa kizungu ameoa mzungu orojino.
Ila wewe ndio utapata tatu kwa sababu mtu anae iga siku zote huwa ana overreact. Anaiga mpaka hata Yale yasiyo faa kuigwa.
Wakenya...
Katika kituo cha treni, kulikiwa na wahasibu watatu kila mmoja alinunua tiketi yake. Lakini waliwaona mainjinia watatu wakinunua tiketi moja tu.
Ikabidi mmoja wa wahasibu awaulize, "Nyie mpo watatu mtasafirije kwa tiketi moja tu?",
"Subiria utajionea mwenyewe", anajibu mmoja wa mainjinia...
Habari zenu Wakuu,
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuiga biashara maeneo ambayo hayana mzunguko na kujikuta wakifunga biashara zao kwa hasara na majuto.
Ndugu MwanaJF leo ningependa kukusaidia ili isije tokea ukafanya kosa linalofanywa na wengi mitaani especially kwenye biashara za...
Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho.
Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.
Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.