Kabla ya kuiga biashara fanya haya

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Habari zenu Wakuu,

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuiga biashara maeneo ambayo hayana mzunguko na kujikuta wakifunga biashara zao kwa hasara na majuto.

Ndugu MwanaJF leo ningependa kukusaidia ili isije tokea ukafanya kosa linalofanywa na wengi mitaani especially kwenye biashara za Maduka ya bidhaa za nyumbani.

Mambo unayotakiwa kufanya ni haya,
1) Hakikisha biashara unayoiga ina Demand/Uhitaji mkubwa. Yani hakikisha kuwa kuna wateja wengi wanaohitaji hiyo huduma unayotaka kuiga.

2) Hakikisha unajua madhaifu ya mtu unaemuiga biashara yake na unayerekebisha kupitia biashara yako.

3) Hakikisha kuwa unamtaji wa kutosha kuzidi mtaji wa mpenzani wako unaeiga biashara yake.

4) Hakikisha kuwa haumuharibii jina au kumfanyia figisu mpenzani wako.

5) Mpende Mpenzani wako, na kama inawezekana usiweke lengo la kumuona anafunga biashara yake.

6) Kama kuna Biashara nyengine tofauti na mpenzani wako, basi ifanye hiyo na uache kukopi kwa kuzingatia uhitaji/Demand.

KUKOPI BIASHARA SIO KOSA ILA UBUNIFU NDIO NGUZO YA MAFANIKIO. BUNI BIASHARA TOFAUTI ILI WOTE MFANIKIWE NA SIO KUIBIANA WATEJA WACHACHE KWA KUKOPI BIASHARA.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Visiwa vya Hawaii 🇺🇸
 
Kati ya vitu hatari ni kuiga biashara ya mtu, maana hujui anatumia nguvu gani
 
Mpenzani nini
 
Back
Top Bottom