Wakuu wa Mikoa mnashindwa kuiga ubunifu wa Chalamila?

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
16,917
24,407
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa Mikoa yote ya Tanganyika.

Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa.

Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera), huwezi kufanya maandamano bila idhini yake vinginevyo magari ya washa washa yatahusika na virungu vya police 👮‍♀️ bila kusahahu kesi zitahusika sana huku watuhumiwa wakibandikwa makosa makubwa yasiyo na dhamana.

Tanzania ipo mikoa 31, ni haki na wajibu Wakuu wa Mikoa mingine kuiga maarifa, nidhamu na ubunifu wa Mheshimiwa Chalamila.

Ikumbukwe ni huyu huyu Mheshimiwa Chalamila aliyetuambia kuna wanasiasa wana kwenda nje kwaajili ya kusaka fedha za kugombea Urais.

Hongera sana Chalamila unaupiga mwingi.
 
Cavill

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
214
686
Pongezi kwake, kuna haja ya kufocus na mazuri saa zingine.. hata watawala nao ni watu, sasa unataka Raisi asolve kila tatizo linaloikumba nchi kwani ye ni Mungu??
Afanye nn ili uone kazi inafanyika??
Ifikie mahali nyie werevu wachache mnyamaze, ili wajinga wengi tupate nafasi ya kujifunza kutokana na ujinga wetu. Ni swala la muda tu, vumilieni!
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
3,564
6,309
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa mikoa yote ya Tanganyika.

Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa.

Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera).Huwezi kufanya maandamano bila idhini yake vinginevyo magari ya washa washa yatahusika na virungu vya police bila kusahahu kesi zitahusika sana huku watuhumiwa wakibandikwa makosa makubwa yasiyo na dhamana.

Tanzania ipo mikoa 31,ni haki na wajibu Wakuu wa Mikoa mingine kuiga maarifa,nidhamu na ubunifu wa Mheshimiwa Chalamila.

Ikumbukwe ni huyu huyu Mheshimiwa Chalamila aliyetuambia kuna wanasiasa wana kwenda nje kwaajili ya kusaka fedha za kugombea urais.

Hongera sana Chalamila unaupiga mwingi.
Kwani unadhani wakuu wa mikoa wote ni ma-Chawa kama wewe!

Chalamila anatetea kurudisha heshima na uaminifu alioupoteza hapo awali toka kwa mteule!

Ni mjinga pekee asiyeweza kujua unachokitaka wewe ni kuendeleza Mgororo wa Dkt Bashiru!

Watu Ma-Chawa kama wewe Ngongo ndio Rais amewaambia kwamba "Avheni watu wakosoe ili ajuwe anapokosea ni wapi"

Ila sababu U-Chawa umewajaa vichwani na Tumboni,bado hamumuelewi Mwenyekiti wenu!

Kama mmepiga kelele kwa Bashiru,wiki nzima sasa.
Na Rais au Mwenyekiti wenu bado amekaa kimya!

Kamati kuu CCM ilikaa kwa dharula,ikatoka na Maamuzi ya kumtuma Mwenyekiti aende Live mikoani!
Badala ya kufuata ushauri wenu Ma-Chawa!

Huko ni kuonyesha kwamba #BashiruSioNdugai!

Hivyo inahitajika Busara zaidi ku-deal naye,badala ya kukurupuka naye,kama mlivyotaka iwe nyinyi Ma-Chawa!

Najua CCM-asali hawajamalizana na
Dkt Bashiru,ila safari hii mbinu itakuwa tofauti na ilivyokuwa kwa #Ndugai.

Kwa sababu,Bashiru ni Salama kwa CCM akiwa ndani ya CCM

Na #Bashiru ni hatari kwa CCM akiwa nje ya CCM.

Ngongo kamata hiyo!
 
Acheni Porojo za kijinga!

Tozo zinawaumiza watanzania, huku mkija na majibu yenu ya kipuuzi haya!

Giza la makusudi nalo linafifisha Uchumi kuanzia viwandani mpaka Kwa Vinyozi.
Halafu mama yenu anatuambia "Tumezowea vya Bure"

.wizi,Ufisadi na Ubadhirifu nje nje huku Mama yenu akiwaambia wateule wakale urefu wa kamba zao!

Wewe Cavill nimekuona ukiwa ni Empty Skull Minded mwingine toka Lumumba!
JamiiForums1689545919.jpg
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
3,317
7,174
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa mikoa yote ya Tanganyika.

Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa.

Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera).Huwezi kufanya maandamano bila idhini yake vinginevyo magari ya washa washa yatahusika na virungu vya police bila kusahahu kesi zitahusika sana huku watuhumiwa wakibandikwa makosa makubwa yasiyo na dhamana.

Tanzania ipo mikoa 31,ni haki na wajibu Wakuu wa Mikoa mingine kuiga maarifa,nidhamu na ubunifu wa Mheshimiwa Chalamila.

Ikumbukwe ni huyu huyu Mheshimiwa Chalamila aliyetuambia kuna wanasiasa wana kwenda nje kwaajili ya kusaka fedha za kugombea urais.

Hongera sana Chalamila unaupiga mwingi.
Intelijinsia ya polisi inaonyesha kauli ya Dkt. Bashiru ni yenye kuhamasisha machafuko nchini, kwa hiyo basi jambo pekee la kuweza kuuzima uasi dhidi ya serikali yao sikivu, ni maRC kuhamasisha maandamano ya wakulima (wa mchongo!?) nchi nzima ili kulinda hadhi ya kauli mbiu ya "Mkuu anaupiga mwingi".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
17,865
31,391
Kwani unadhani wakuu wa mikoa wote ni ma-Chawa kama wewe!

Chalamila anatetea kurudisha heshima na uaminifu alioupoteza hapo awali toka kwa mteule!

Ni mjinga pekee asiyeweza kujua unachokitaka wewe ni kuendeleza Mgororo wa Dkt Bashiru!

Watu Ma-Chawa kama wewe Ngongo ndio Rais amewaambia kwamba "Avheni watu wakosoe ili ajuwe anapokosea ni wapi"

Ila sababu U-Chawa umewajaa vichwani na Tumboni,bado hamumuelewi Mwenyekiti wenu!

Kama mmepiga kelele kwa Bashiru,wiki nzima sasa.
Na Rais au Mwenyekiti wenu bado amekaa kimya!

Kamati kuu CCM ilikaa kwa dharula,ikatoka na Maamuzi ya kumtuma Mwenyekiti aende Live mikoani!
Badala ya kufuata ushauri wenu Ma-Chawa!

Huko ni kuonyesha kwamba #BashiruSioNdugai!

Hivyo inahitajika Busara zaidi ku-deal naye,badala ya kukurupuka naye,kama mlivyotaka iwe nyinyi Ma-Chawa!

Najua CCM-asali hawajamalizana na
Dkt Bashiru,ila safari hii mbinu itakuwa tofauti na ilivyokuwa kwa #Ndugai.

Kwa sababu,Bashiru ni Salama kwa CCM akiwa ndani ya CCM

Na #Bashiru ni hatari kwa CCM akiwa nje ya CCM.

Ngongo kamata hiyo!
Utakuwa hujamuelewa.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
10,712
8,046
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa Mikoa yote ya Tanganyika.

Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa.

Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera), huwezi kufanya maandamano bila idhini yake vinginevyo magari ya washa washa yatahusika na virungu vya police bila kusahahu kesi zitahusika sana huku watuhumiwa wakibandikwa makosa makubwa yasiyo na dhamana.

Tanzania ipo mikoa 31, ni haki na wajibu Wakuu wa Mikoa mingine kuiga maarifa, nidhamu na ubunifu wa Mheshimiwa Chalamila.

Ikumbukwe ni huyu huyu Mheshimiwa Chalamila aliyetuambia kuna wanasiasa wana kwenda nje kwaajili ya kusaka fedha za kugombea Urais.

Hongera sana Chalamila unaupiga mwingi.
Ccm tawala milele, kwa akili hizi!
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom