Naliona anguko la taifa la Kenya kijamii( Kuiga uzungu kunaliangamiza taifa la Kenya)

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,119
27,123
Ukioa demu mkenya, tofauti yako na alie oa mzungu ni moja tu. Wewe ulie oa demu wa kikenya umeoa mzungu feki na yule alie oa demu wa kizungu ameoa mzungu orojino.

Ila wewe ndio utapata tatu kwa sababu mtu anae iga siku zote huwa ana overreact. Anaiga mpaka hata Yale yasiyo faa kuigwa.

Wakenya wanawatukuza sana wazungu na kuutukuza uzungu. Kwao wazungu ni kama miungu yao ya pili.

Shida moja ya kumtukuza mtu na kumuona yeye ni bora kuliko wewe basi utajikuta una jaribu kufanya kila kitu ambacho una amini huyo mtu ana kifanya ili ku fit inn.

Wakenya wengi wana amini wazungu wameupokea na kukubali ushoga na usagaji. Now unaona wanawake wengi sana wa Kenya wameingia kwenye usagaji.

Wanawake wengi sana wa Kenya hasa wa Nairobi wengi wameingia kwenye usagaji and they are so proud and public about it cause they think it makes them look more white..

Barani Africa hakuna watu walio athiriwa na uzungu kama wakenya. Kibaya zaidi wameathiriwa na the wrong part of uzungu courtesy of internet and movies / series.

Wewe unae waambia hayo mambo sio sahihi ndio wana kuona eti mshamba kwa sababu eti hadi wazungu wanafanya.

Usagaji kama ilivyo kwa ushoga ni uhalifu wa mfumo wa Kijamii.

Jamii yoyote ile ili uendelee inahitaji kuwa na wanawake ambao kichwani wapo sober na ambao mind zao hazijawa corrupted.

Kwa hali hii ninayo iona kuhusu wanawake wa Kenya mambo yakiendelea hivi jamii ya Kenya itaenda kuanguka..

Ndio maana Nyerere hakutakaga watanzania wasome kwa kiingereza kuanzia primary kwa sababu alijua kuna ushenzi mwingi sana ambao umeandikwa kwa lugha ya kiingereza...

Wewe unae struggle kulipa mamilioni kumlipia mwanao shule ya EM jua kwamba mtoto wako ataanza kujifunza mambo ya kidhwalimu akiwa bado mdogo kwa sababu udhalimu mwingi umeandikwa kwenye lugha ya kiingereza.
 
Aisee kweli kuna mtandao unaitwa stripchart ni wa sex live mule unakuta wakenya kibao wanawake wanasagana hatari vitoto vya chuo mpaka wakubwa hawana hata aibu
 
Moderator Kimambi = Kijamii
Mawazo yako ni mazuri sana kwa kuwafahamisha wasiojua kuhusu hayo.
USHAURI:Uwe unaandika kwa lugha moja iliyonyooka ili ueleweke zaidi na zaidi.Nisije nikakufananisha na hao wapendao "assimilation "!
 
Wakenya wapo smart sana
Sisi Watanganyika ndo tupo mambumbumbu tu
Hatujielewi
Tunaendeshwa na wajinga wachache
Umeme hatuna tupo kimya
Sukari elfu 5 tupo kimya
Nauli juu
Mafuta juu
Mkenya hawezi kubali huu ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwasifia ujinga mbona mafuta na unga vipo nchini juu kwao na hakuna cha maana walichokifanya
 
Kama
FB_IMG_1707333680951.jpg
 
Wakenya wapo smart sana
Sisi Watanganyika ndo tupo mambumbumbu tu
Hatujielewi
Tunaendeshwa na wajinga wachache
Umeme hatuna tupo kimya
Sukari elfu 5 tupo kimya
Nauli juu
Mafuta juu
Mkenya hawezi kubali huu ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishakuwa mfuasi wa Cdm unakuwa na mawazo ya hovyo sana
 
Umeanza vizuri ila Aya yako ya mwisho imeonyesha dhahiri your hidden motive. Pelekeni watoto shule nzuri la sivyo watakuwa watumwa wa watoto wangu.
 
Cc MK254 yana ukweli haya?

Hivi kuna chochote sisi Waafrika hatujaiga aidha uzunguni au uarabuni, unakuta mtu amevaa kanzu unamuuliza anakuambia anataka afanane na muhammad, yaani muarabu.
Hata mleta mada hapo alipo aoenyeshe kimoja ambacho sio cha uzunguni, kuanzia mavazi hadi anakokwenda kunyea......
Tuache unafiki wa kuelekezana vidole tukubali mwafrika alichelewa sana tangia enzi za mababu zetu.
Soma kuhusu ngozi nyeupe enzi za utawala wa Warumi, maelfu ya miaka huko, uone majengo waliyokua nayo ya kifahari wakati mababu zetu wanaishi kama ngendere maporini, kisha ujiulize na kushangaa hadi leo kuna Mwafrika bado anaishi maisha ya dhiki hajafikia hadhi ya mzungu wa enzi hizo.

Walau ndio leo tunafikisha umeme kwenye baadhi ya walalahoi

55244467_1390329444441876_4321596879214215168_n.jpg
55244467_1390329444441876_4321596879214215168_n.jpg
 
Ukioa demu mkenya, tofauti yako na alie oa mzungu ni moja tu. Wewe ulie oa demu wa kikenya umeoa mzungu feki na yule alie oa demu wa kizungu ameoa mzungu orojino.

Ila wewe ndio utapata tatu kwa sababu mtu anae iga siku zote huwa ana overreact. Anaiga mpaka hata Yale yasiyo faa kuigwa.

Wakenya wanawatukuza sana wazungu na kuutukuza uzungu. Kwao wazungu ni kama miungu yao ya pili.

Shida moja ya kumtukuza mtu na kumuona yeye ni bora kuliko wewe basi utajikuta una jaribu kufanya kila kitu ambacho una amini huyo mtu ana kifanya ili ku fit inn.

Wakenya wengi wana amini wazungu wameupokea na kukubali ushoga na usagaji. Now unaona wanawake wengi sana wa Kenya wameingia kwenye usagaji.

Wanawake wengi sana wa Kenya hasa wa Nairobi wengi wameingia kwenye usagaji and they are so proud and public about it cause they think it makes them look more white..

Barani Africa hakuna watu walio athiriwa na uzungu kama wakenya. Kibaya zaidi wameathiriwa na the wrong part of uzungu courtesy of internet and movies / series.

Wewe unae waambia hayo mambo sio sahihi ndio wana kuona eti mshamba kwa sababu eti hadi wazungu wanafanya.

Usagaji kama ilivyo kwa ushoga ni uhalifu wa mfumo wa Kijamii.

Jamii yoyote ile ili uendelee inahitaji kuwa na wanawake ambao kichwani wapo sober na ambao mind zao hazijawa corrupted.

Kwa hali hii ninayo iona kuhusu wanawake wa Kenya mambo yakiendelea hivi jamii ya Kenya itaenda kuanguka..

Ndio maana Nyerere hakutakaga watanzania wasome kwa kiingereza kuanzia primary kwa sababu alijua kuna ushenzi mwingi sana ambao umeandikwa kwa lugha ya kiingereza...

Wewe unae struggle kulipa mamilioni kumlipia mwanao shule ya EM jua kwamba mtoto wako ataanza kujifunza mambo ya kidhwalimu akiwa bado mdogo kwa sababu udhalimu mwingi umeandikwa kwenye lugha ya kiingereza.
Wakenya sanajitambua, Raisi wao wa kwanza aliwahi mwambia Nyerere kwamba anatawala Maiti. nakubaliana naye kwa asilimua 100, Tanzania kuba maiti zinatawaliwa. Wakenya wameamka kitambo sana, exposure zao zibawasaidia sana.

Mbona Arusha pia wazungu wanatukuzwa sana huku?
 
Back
Top Bottom