kiongozi wa upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Serikali ya Guinea yamteua Kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu mpya

    Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
  2. Chachu Ombara

    TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa. Alihamishiwa...
  3. BARD AI

    Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe ajiuzulu ndani ya Chama chake, adai kinatumika na Serikali

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa amejiuzulu, akisema chama chake "kimechafuliwa" na "kutekwa nyara" na serikali. "Sitakuwa na uhusiano wowote na siasa za maji taka," alisema katika taarifa ya kurasa 13 siku ya Alhamisi. Alipata takriban 44% ya kura katika uchaguzi wa rais wa...
  4. Miss Zomboko

    Senegal: Huduma ya Intaneti yazimwa baada ya Kiongozi wa Upinzani kuongezewa Mashtaka

    Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii. Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi...
  5. Mhandisi Mzalendo

    Maandamano makubwa Senegal baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa

    Habari wana jamvi. Maandamano makubwa yanaendelea Senegal nzima baada ya kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kulaghai watoto chini ya miaka 21. Awali bwana Sonko ambaye ni gavana wa jimbo mojawapo alikuwa na tuhuma za ubakaji. Pale dada wa...
  6. JanguKamaJangu

    Kiongozi wa upinzani wa Belarus apewa kifungo cha miaka 15 jela kwa tuhuma za kupanga mapinduzi

    Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la mapinduzi. Uamuzi huo yeye ameutaja kuwa adhabu ya kujaribu kukuza demokrasia ya Belarus...
  7. J

    Tundu Lissu: Sijawahi kupishana maneno na Mbowe tangu nijiunge CHADEMA 2004, hakuna wa kutufitinisha!

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote. Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza wazi kuwa atarudije nyumbani ilhali Mwenyekiti wake yuko magereza, ndipo Rais akalifanyia kazi. Lissu...
  8. JanguKamaJangu

    Senegal: Kiongozi wa upinzani afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ubakaji

    Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali. Mwanasiasa huyo aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa Rais Mwaka 2019, ameshaweka wazi nia yake ya kugombea Urais...
  9. The Sheriff

    Utafiti: Watanzania wana hofu ya kukosa huduma za kijamii wakimchagua kiongozi wa upinzani

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo wa Repoa walioufanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung ya nchini Ujerumani, mwaka 2021...
  10. Mystery

    Je, mbunge Luhaga Mpina ndiye aliyechukua nafasi ya kiongozi wa upinzani Bungeni?

    Kama mjuavyo, kutokana na namna ya uchaguzi mkuu ulivyofanyika hapa nchini mwaka 2020, hakuna Mbunge yeyote wa upinzani aliyechaguliwa, isipokuwa wawili tu ambao ni yule mama wa Chadema, aliyechaguliwa kutoka mkoani Rukwa na Mbunge mwingine wa upinzani kwa tiketi ya CUF toka mkoani Mtwara. Kwa...
  11. BARD AI

    Kiongozi wa upinzani Gabon atakiwa kutotoka nje ya nyumba yake

    Kiongozi wa upinzani wa Gabon, Guy Nzouba-Ndama, amewekwa chini ya kizuizi cha nyumbani ikiwa ni siku tano baada ya kukamatwa kwenye mpaka wa Congo akiwa na mabegi yenye zaidi ya dola milioni 2. (Tsh. Bilioni 3). Kukamatwa kwake kulirekodiwa na kufunguliwa kwa masanduku hayo kuchapishwa kwenye...
  12. kunta93

    Leo nimeyakumbuka maneno ya kiongozi wa Upinzani Uganda, Bobi Wine

    Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo Baada Raisi Museveni kuapishwa kua raisi wa nchi hiyo na kuanza majukumu yake ndipo Col Dkt kizza besigye...
  13. beth

    Belarus: Kiongozi wa Upinzani ahukumiwa kifungo cha miaka 18 gerezani

    Sergei Tikhanovsky ambaye aliongoza maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela kwa hatia ya kuandaa machafuko na kuchochea chuki Tikhanovsky alipanga kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 dhidi ya Rais Lukashenko lakini alikamatwa Lukashenko...
  14. Fundi Madirisha

    Historia inathibitisha kuwa Kiongozi mkubwa wa upinzani anapofungwa, mabadiliko ya kidemokrasia yanakaribia

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa historia na msomaji mzuri matukio ya kisiasa duniani na mabadiliko ya kidemokrasia katika nchi mbali mbali na hata kwenye ukombozi, utakubaliana na mimi mabadiliko ya demokrasia na katiba katika nchi hizo yaliambatana na maumivu makali ya viongozi wa vyama vyama vya...
  15. Analogia Malenga

    Uganda yaondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani

    Serikali ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa madarakani rais Yoweri Museveni ambaye ametawala kwa kipindi cha miaka 35. Besigye, amegombea nafasi ya urais mara nne na alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya...
  16. Miss Zomboko

    Belarus: Kiongozi Mkuu wa Maandamano ahukumiwa miaka 11 jela na mwenzake miaka 10

    Kiongozi wa upinzani Belarus, Maria Kolesnikova amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela. Vyombo vya habari vya Belarus vinaripoti kuwa hii ni baada ya kuhusika katika maandamano ya mwaka jana kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata nchini humo. Mshirika wa Kolesnikova ambaye pia ni wakili Maxim...
Back
Top Bottom