siasa za upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    Kizazi cha dhahabu katika siasa za upinzani Tanzania kilikuwa ni hiki hapa. Hawa wa sasa wamekata pumzi

    (1) Freeman Mbowe Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani. Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala! (2) Maalim Seif Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
  2. Mzalendo Uchwara

    Lissu akiondoka na siasa za upinzani zinapoa, hii inaashiria nini kuhusu afya ya upinzani nchini?

    Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu. Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani...
  3. T

    Kwa hili la DP world! Niko tayari kuingia kwenye ulingo wa siasa za upinzani!

    Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za viongozi walafi na wasiotosheka na kile walichonacho kutoka CCM. Chama kinachoitwa ccm ali maarufu kama...
  4. M

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika. Kabla CHadema hawajaanza...
  5. J

    Tundu Lissu: Sijawahi kupishana maneno na Mbowe tangu nijiunge CHADEMA 2004, hakuna wa kutufitinisha!

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote. Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza wazi kuwa atarudije nyumbani ilhali Mwenyekiti wake yuko magereza, ndipo Rais akalifanyia kazi. Lissu...
  6. ASIWAJU

    Swali kwa upinzani: Je, tatizo lenu ni Magufuli au CCM?

    Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao. SWALI: Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ? KARIBUNI
  7. Robert S Gulenga

    John Mnyika wakabidhi chama chao, si dhambi kurudi CCM. Ukishindwa kabisa nenda kaungane na Zitto Kabwe kuendeleza Siasa za Upinzani

    Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako. John Mnyika, kwa namna ulivyo...
Back
Top Bottom