TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
putin.png

Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic.

Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa.

Alihamishiwa katika gereza la Arctic, linalochukuliwa kuwa moja ya magereza magumu zaidi, mwishoni mwa mwaka jana.

Mamlaka zimesema kuwa alianza kujisikia vibaya siku ya Ijumaa baada ya matembezi na alipoteza fahamu mara moja. Timu ya dharura ya matibabu ilikuja mara moja na kujaribu kumpatia matibabu bila mafanikio.

---


Russia's most significant opposition leader for the past decade, Alexei Navalny, has died in prison inside the Arctic Circle, the prison service said.

Seen as President Vladimir Putin's most vociferous critic, Navalny was serving a 19-year jail term for offences widely considered politically motivated.

He was moved to an Arctic penal colony, considered one of the toughest jails, late last year.

The prison service in the Yamalo-Nenets district said he had "felt unwell" after a walk on Friday.

He had "almost immediately lost consciousness", it said in a statement, adding that an emergency medical team had immediately been called and tried to resuscitate him but without success.

The causes of his death were being established, Tass news agency reported
 
Back
Top Bottom