Search results

  1. FrankLutazamba

    Serikali, zungushieni uzio wa katika eneo watu wanapoteka maji na kuoga huko Buchosa, Sengerema kuepuka hatari za kushambuliwa na mamba

    Leo nimesikia habari ya mwanamke aliyeliwa na mamba huko Buchosa Sengerema na kuhuzunika sana.tunaiomba serikali itenge eneo ambalo watu watachota maji na kuogelea kisha waweke nguzo na seng'enge zitakazokuja mpaka nchi kavu na waweke geti ili mamba asiweze kutoka nje ya ziwa na kujichomeka eneo...
  2. FrankLutazamba

    Ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuwapeleka Polisi kutembelea wenzao wa Ujerumani, Uingereza, Australia, Ufaransa, China & USA kubadilishana uzoefu

    Nadhani ili kubadilishana uzoefu wa kazi ni vyema polisi wetu wakawezeshwa na Serikali kwenda nchi nilizozitaja hapo juu kuona wenzao wanafanyeje, ili kama kuna mapungufu wayajazilishie na kama wenzao wanayo wawajazilishie Mfano wataangalia selo zao na aina ya bajeti waliyojiwekea ktk...
  3. FrankLutazamba

    Jinsi ya kujitangaza kwa mabenki yetu kama NMB, CRDB, TPC, NBC, DTB, ABSA bank au makampuni kupitia shirika la Posta huku ukivuna faida ya mamilioni..

    Kwanza..ni kuanzisha shindano la urafiki mwema baina ya wanafunzi la kuandika na kutumiana barua kati ya shule moja na nyingine ndani ya mkoa kwa kutumia bahasha na stempu zilizo na logo au chapa ya kampuni zitazouzwa kwa wanafunzi hao kwa bei rahisi.hapo ni mwanzo wa kujitangaza. Pili...
  4. FrankLutazamba

    Ugunduzi 2020: kwanini tusiwe na barabara za escalator(lift)kama za kupandia ngazi ktk mall au ktk ndege au maghorofa!

    Stairs escalator tukiapply ktk barabara za pembeni kutoka mtaa mmoja hadi mwingine zitasaidia wazee kwenda makanisani na wagonjwa kwenda mahospitalini Picha chini haijawai tokea bado kukawa na road escalators.
  5. FrankLutazamba

    Ugunduzi 2020: Badala ya simu moja au computer moja kuwa na betri moja sasa ziwe mbili au tatu ikiisha moja inaanza nyingine

    Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu. Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe...
  6. FrankLutazamba

    Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  7. FrankLutazamba

    Naishauri serikali ya Tanzania tuwe na barabara chini ya bahari toka Dar es laam mpaka Zanzabar hadi Mafia

    Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari? Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.
  8. FrankLutazamba

    Kuna haja ya kuuonesha uma mkufu wa dhahabu na almasi ni upi hasa kwa wasanii wetu,wengi wanavaa vyuma siyo mikufu

    Nilikwenda mlimani city kwa Mara ya kwanza mwaka 2007 nikaoneshwa mkufu wa dhahabu nilitoa macho kiasi kwamba ukimpa msichana kama zawadi lazima umuoe,kwani unang'aa kama jua linachomoza au kuzama. Pia nilimuona Dada mmoja amevaa udsm kidani cha almasi kwa jinsi kinavyochoma lazima umfuate,sasa...
  9. FrankLutazamba

    China itautingisha uchumi wa Marekani ikiwa tu Wanawake wa China watakubali kuzaa na Waafrika

    Ili Uchumi wa Marekani utikisike basi ni mpaka wanawake wa China watakapokubali kuzaa na waafrika ili kupata kizazi chenye nguvu na maarifa kama ilivyokuwa kwa wazungu miaka mingi iliyopita,ila wakijitenga wao kama wao si rahisi
  10. FrankLutazamba

    Ningekuwa mkurugenzi katika mojawapo ya majiji matano tuliyonayo(A-town,Dom,Dar,Mwanza,Mbeya na Tanga),ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje...

    Ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje na usiku iwashwe,majiji yetu yakiwa na taa za nje hasa tube light hupendeza sana hasa unapoanza kuingia toka safari. Mwisho nadhani Tabora sasa ikifikishiwa huduma ya maji yafaa iwe jiji.
  11. FrankLutazamba

    Serikali kwanini wahitimu wa bachelor of arts with education wasiwe mawakala wa ttcl na airtel nchi nzima wakati wakingoja fursa

    Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na...
  12. FrankLutazamba

    People from USA & Europe are a big hope to many families in Tanzania when you visit, so welcome in Tanzania and to our families

    Sometimes when I see different race I feel happy especially people from USA and Europe because they are so peace people I know, I say this following saw one Either a European or USA woman carry an African baby on mean bus with her own hands while her mother of that daughter sitting beside them...
  13. FrankLutazamba

    Ukitaka guest, lodge au motel ijae na ipendwe basi isikose vitatu ndani ya vyumba,tv,computer, maji ya moto, ofa ya polisi 2 kulala bure

    Computer utaweka kila chumba kitakachobaki ni mteja kuja na modem yake kwa ajili ya internet,kama hana basi aje na flash ya nyimbo au device nyingine,TV pamoja na maji ya moto,na ofa ya polisi wawili kulala Bure hotelini kwako utakuwa umeweka ulinzi bila wao kujua.naiomba serikali iamlishe kila...
  14. FrankLutazamba

    Pete za ndoa ziwe na kauwazi kama picha chini zinavyoonekana, maana zinabana tukinenepa hazivuliki

    Nimegundua pete za ndoa lazima ziwe na uwazi kiusalama maana tukinenepa watu huzivua kwa sabuni zinagoma, muundo huo ni ubunifu wangu haki miliki ninayo.
  15. FrankLutazamba

    Nashauri viwanda vya bia vianze kutengeneza bia chupa moja yenye ujazo wa bia mbili ili kuwapunguzia wahudumu nenda rudi...

    Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
  16. FrankLutazamba

    Ningekuwa Rais Magufuli, ningetangaza Machifu na Watemi wanaojulikana waanze kulipwa mshahara wa Tsh.laki nne kila mwezi

    Ukipiga hesabu laki NNE Mara mikoa ishirini na tank ni tsh milioni kumi,ndogo sana kwa serikali kwa kila mwezi kuwalipa mishahara. Ningefanya hivyo kwa sababu machifu hawana chanzo cha mapato kama watumishi wa Mungu Ila wanatunza tamaduni na mila zetu,pia wanatuepusha na balsa na mikosi kwa...
  17. FrankLutazamba

    Je, ni halali au haramu kumiliki Upupu (uwashao) kwa siye tusio na kibali cha kumiliki bastola za kujilinda dhidi ya wezi na wakabaji!

    Jamani bado sijui ikiwa Upupu ni haramu au la! Maana kuna mitaa kuna wapiga roba maarufu, sasa tusio na vibali vya kumiliki silaha tunaruhusiwa kuumiliki kama njia moja wapo ya kujihami kwa tunaojua kuutumia?
  18. FrankLutazamba

    Nalia na gazeti la zamani Sanifu, Sani, Tabasamu, By Kingo, Bongo na kadhalika, kwani ni matajiri katika ulimwengu wa sasa wa katuni

    Katika ulimwengu huu na kazi nzuri zilizokuwemo mule kama action, mapenzi, vichekesho, wangeshirikiana na watengeneza katuni wa kimataifa mbona wangekuwa mabilionea. Taarifa nilizonazo Masoud Kipanya alichoma nakala zote alizojitunzia za gazeti pendwa la Sanifu, kwanini Kipanya lakini ufanye...
  19. FrankLutazamba

    Rais Magufuli anzisha television ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa sababu kuu tatu au nne muhimu zifuatazo ..

    Utangulizi;kuna Mali za Serikali na Mali za chama,Chanel ten na TBC In Mali ya serikali. 1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine. 2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu. 3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo. 4.Nyimbo...
  20. FrankLutazamba

    Ukichemsha maji uliyochota toka bombani au kisimani, ukayapoza, ukamimina ktk chupa ya Dasani ukafunga yakae siku tano yana madhara?

    Nauliza kwa sababu maji ya viwandani huwekewa chemical ili yasiharibike au yasichache sasa Mimi nayaweka bila chemical je yatakuwa mabaya kwa matumizi?
Back
Top Bottom