Naishauri serikali ya Tanzania tuwe na barabara chini ya bahari toka Dar es laam mpaka Zanzabar hadi Mafia

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari?

Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.
 
Tatizo hela ndugu na hapo lzm kuwe na umeme wa uhakika utakaohakikisha 24 hours hewa ipo na mwanga wakutosha!.. pia uimara wa hiyo tunnel lazima uwe imara ya kumudu masunami makubwa na matetemeko ya ardhi makubwa mfano ritcher 7!..
Isn't easy ila ni wazo zuri na linaweza vutia zaidi utalii n.k
 
Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari?

Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.

Swala sio ushauri, Swala ni uwezo
 
... hata uuze kisiwa cha Unguja haitoshi kujenga hiyo barabara! Utakuwa mradi wa kijing sana.
 
Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari?

Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.
Kwani tatizo ni barabara au uchumi wetu hauwezi kufanya hivyo.Yapo mengi tunatamani kuwa nayo lakini hatuna uwezo wa kiuchumi kufanya hivyo.
 
Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari?

Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.
Japokuwa nchi yetu ni tajiri lakini haina pesa na facilities za kufanikisha hilo..
Ili kufanikisha itajikuta inahitaji wataalamu(wazungu) na pesa mikopo au msaada from benki ya dunia...
Yaani tunahitaji maadui wa maendeleo yetu kufanya maendeleo maendeleo yetu..NI NGUMU KUFANIKISHA KWA SASA labda magufuli tumpatie infinity leadership ...si unakumbuka kuhusu ndege..maadui zetu waliwatumia wanasiasa kuhakikisha ndege Zinakwama.
 
Jiwe hafai hata kuongoza familia yake

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
hao watakaojenga watatoka nchi gani?

wabadirishe mfumo wa elimu ndio watapata watu wenye mawazo kama hayo hata kama pesa hakuna.
 
Back
Top Bottom