Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
500
Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao.

Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia)

Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho mbaya, hii itafanya upendo urudi.

Nne,watoto wataheshimika.

Mwisho wapo kama milioni moja au laki tano nchi nzima ukizidisha milioni moja Mara elfu moja ni bilioni moja kila mwezi kwa serikali ni pesa ndogo sana hiyo. Pia itaepusha usumbufu wa kuwapikia shuleni. Watoto wanapata tabu kuomba mia mia nyumbani.

Ikifika kila mwisho wa juma jumamosi wanaenda shule kuchukua elfu tano yao kila darasa na wakala mmoja wa simu wakulipa

Nb:kwa wale wa vijijini sana watapikiwa chakula wakitaka mana daladala si lazima kwao.
 

mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,724
2,000
Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao....
Ideal nzuri, tatizo utekelezaji.

Je posho hizo watapewa shuleni? Walimu ndio watagawa?

Je utampa mzazi ili ampe mtoto?

Au badala ya kupewa pesa wapewe vocha ambazo itatumia badala ya pesa kwenye maduka maalum yaliyopo maeneo ya shule ili kupunguza uchakachuaji utakaofanywa na Mwalimu au Mzazi.

Kuna tofauti kubwa kati ya mtoto anayesoma akiwa na njaa na mtoto anayesoma akiwa na kitu tumboni.
 

jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,472
2,000
Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao...
Darasa la tatu tu kwa nchi nzima ni zaid ya million 3
La nne 2.+

Yaaaan hapo unamanisha wawalipe wanafunzi m7 hivi kisaaa? Hahahahaa labda ungesema buku iwe posho kwa wanafunzi wanaihudhuria shule mwezi mzima lakini pia wanafaul vizur masomo iwe kama posho iongeze molali Ila tukifukia Huko kodi wafanya biashara tujiandae kukamuliwa
 

HDMI

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
639
1,000
Kuna jumamosi na jumapili na sikukuu na likizo hawaendi shule umepiga!
Hizo ni approximations mkuu. Kwani kuna wanafunzi milioni 1 kamili? Kiufupi hii mada ni pumba usidhani kwa sababu nimechangia ndio inaondoa hilo
 

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
500
Darasa la tatu tu kwa nchi nzima ni zaid ya million 3
La nne 2.+

Yaaaan hapo unamanisha wawalipe wanafunzi m7 hivi kisaaa? Hahahahaa labda ungesema buku iwe posho kwa wanafunzi wanaihudhuria shule mwezi mzima lakini pia wanafaul vizur masomo iwe kama posho iongeze molali Ila tukifukia Huko kodi wafanya biashara tujiandae kukamuliwa
Tukishindwa basis iwe kwa LA saba ambao wanahitaji ped
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom