television

  1. BelegheTV

    Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5. Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu...
  2. Magufuli 05

    CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

    Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu. Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya...
  3. T

    Vipindi vya Television.

    Habari za weekend ndugu zangu natumai mko salama, ehee ni weekend tayari. Twende kwenye mjadala Tanzania iko katika biashara ya vingamuzi kwasababu tulitoka uko kwenye analog na sasa tuko digital lakini ni kama atutumii fursa hii vizuri. Nafikiri mna weza kukubaliana na mimi kama umewahi...
  4. Tebajanga

    Natafuta Television ya LG QNED85 miniLED 2022 inches 65 au 75

    Habari za leo wakuu. Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa. Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85. Imenibidi kuulizia humu nadhani nitapata mwongozo.
  5. T

    Je Television ya ITV wanajua watazamaji tunawapata kwa shida

    Idara ya matangazo ya ITV hawana budi kufuwatilia kwa umakini kwanini wakati wa taarifa ya Habari au matangazo muhimu channel yao inakuwa inakatika katika tunakuwa hatuwapati live je ni hujuma ndani kwa ndani au tatizo la mitambo yao. Nawasilisha
  6. GRAMAA

    TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  7. P

    Taja vipindi vya televisheni vinavyoharibu maadili ya Kitanzania

    Mimi naanza na kipindi Cha Dadaz. Hiki kipindi sijawahi kukielewa kabisa lengo lake ni nini. Kwanza mda wote watangazaji wanaongea bila kupeana zamu ya kuzungumza. Na zaidi nachoona kinalenga kuwafanya mabinti wengi wasiolewe kwa jinsi kinavyopandikiza mbegu ya jeuri, ujuaji, ubabe na ukorofi...
  8. S

    Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

    Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi. Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu). Hivyo...
  9. R

    Kama una uwezo wa kutengeneza matangazo ya TV na huna ajira natafuta mbia wa project zangu

    Habari wakuu, Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission. Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
  10. Dr. Zaganza

    Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

    Habari Wakuu, Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television tunavyofanya navyo kazi. Piga 0713-039 875
  11. M

    Hongereni sana Clouds Media Group (CMG) kwa Kumrudisha Mburudishaji na Mchangamshaji katika Radio na Television Mbwiga Mbwiguke

    Nina uhakika Kitendo chenu cha Kuachana nae (Retrenching Him) pamoja na Watangazaji wenu Wengi wakiwemo Watangazaji Maarufu (Ninaowahifadhi) ambao wanafikia 27 mlitupoteza Wasikilizaji wenu. Ni Wiki ya Tatu sasa namsikiliza Mtangazaji Mburudishaji na Mchangamshaji Mbwiga Mbwiguke akiwa Clouds...
  12. Kasomi

    Fahamu Asili na Maana ya Television(Runinga)

    HISTORIA NA ASILI YA RUNINGA Televisheni (kifupi: TV) au runinga ni chombo (kifaa) chenye kiwambo (kioo) ambacho kinapokea mawasiliano kutoka kituo cha televisheni na kuyabadilisha kuwa picha na sauti. Neno "televisheni" linatokana na maneno mawili: tele (kutoka Kigiriki: kwa mbali sana) na...
  13. Pascal Mayalla

    Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

    Wanabodi Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!. Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!. Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha...
  14. FRANCIS DA DON

    #COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

    Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya...
  15. J

    Gerson Msigwa: Tuko mbioni kuanzisha Televisheni ya Serikali itakayorusha Habari za Maendeleo tu

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali. Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa. Chanzo: Clouds tv
  16. M

    Ni kwanini ukipokea Taarifa nzuri au mbaya Usiku kupitia Television Usingizi nao unakata ghafla na Unakesha tu?

    Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.
  17. kavulata

    Vituo vya Television na Radio vinachangia mimba za utotoni nchini

    Haingii akilini kusikia eti chombo cha habari kama Radio (hasa za FM) na television (hasa za vijana) vinaendesha kampeni ya kuzuia ngono na mimba kwa vijana wakati huohuo vinahamasisha vijana kufanya kijiingiza kwenye mapenzi. Imefahamika kuwa watoto wengi huwa hawasikilizi na kuangalia Radio...
  18. SAYVILLE

    Ni kituo gani cha Television kilipigwa faini na TCRA wakati wa uchaguzi?

    Kuna taarifa naifanyia kazi sasa nahitaji baadhi ya information muhimu. Ningependa kujua, wakati wa kampeni kuna kituo cha television kilirusha matangazo ya BBC yaliyojumuisha taarifa fulani nadhani kuhusu Tundu Lissu. Kile kituo kilipigwa faini nadhani ya milioni 20. Ningependa kujua kituo...
  19. Replica

    RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha kurusha matangazo kwa miezi sita kuanzia leo kutokana kwa kukiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui ya utupu. Maamuzi hayo yanakuja kufuatia maudhui ya picha jongefu yaliyomwonesha msanii wa bongo Fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money akicheza...
  20. Dr. Zaganza

    Natafuta Television au YouTube Chaneli inayoweza kuandaa makala za uchunguzi kama Jicho Pevu za Mohamed Ali wa KTN

    Habari wakuu, Nimekuwa mpenzi wa kujisomea habari za magazeti na kuandika makala kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nimefanya tafiti ndogo, nimeona jamii imeshift toka kwenye magazeti na kwa sasa wanadeal zaidi na digital works kama e-newspaper, YouTube chanels n.k. Hivyo nimeandaa matukio 10 yalowahi...
Back
Top Bottom